Aisee kumbe ni rahisi kabisa kwa watumiaji wa Samsung, Xiaomi na Pixel kuweka Dynamic Island kwenye simu zao. Android users hawashindwi jambo, Nenda PlayStore Download App ya DynamicSpot kisha unyama mwingi, Sina uhakika kwa Watumiaji wa #Huawei, #Oppo, #Tecno na #Infinix.
@YoungAfricansSC Ila aliyedizaini hizi Jezi, Asilipwe kwanza kwani sidhani kama ana ni Mbunifu kumzidi Ngowi, Hivi vitu vya kutaka mseleleko ndio madhara yake.