Hawa wabunge wa Rift valley ivi karibuni watakuja kuelewa mbona tugege MPs wa Mt Kenya waliingia mitini wote. Kubishana na Wamunyoro ni kibarua ngumu sana
Edwin Sifuna: Ile kitu kidogo tunaeza fanya kwa sasa, ni kuwapunguzia mzigo, tunaona vile mnaishi hapa na hata baada ya mazishi tuone vile haki itapatikana. Risasi zote za serikali ziko na namba na polisi anaweza kutafutwa na akapatikana. Sisi tunataka uajibikaji kwa serikali na yule aliyehusika na mauaji ya Vincent lazima ajulikane.
#K24Siasa

Every mega project has the Auditor General's questions about huge unaccounted funds (stolen).Loans/Taxpayers' money repaymen of which is a burden on Kenyans struggling with the high cost of living. For how long? Is stealing the reason behind all these mega projects?
On Saturday in Kakamega, a plainclothes police officer who had thrown a teargas canister at the crowd ran and hid in a house next to Amalemba Grounds after he was spotted by angry youths!
"Ile pesa William Ruto anapeana Statehouse awape pia nyinyi... Lakini Kasongo anasema kwa sababu Farouk Kibet na Oscar Sudi wamekula pia nyinyi mmekula."
- Riggy G in Bomet.