Alli Migeyo maarufu kama "ALLI MATATA" ni mtanzania wa kwanza kupigwa bomu la machozi.
Alipigwa mabomu manne ya machozi Desember 2, 1953.
Alipigwa mabomu hayo na askari wa kikoloni wa… https://t.co/vZZPIPt3DC
Hadi leo huwa sidharau walinzi, baada ya kubaini mie na elimu yangu nilikua naenda kushika kirungu wapo wasomi walinzi ila sababu ya ukosefu wa ajira wamejishikiza huko.
Unaweza mdharau mlinzi leo sababu hujui elimu yake halafu kesho unamkuta ofisi safi anapigwa kiyoyozi