Tunaendelea kuweka alama katika utoaji wa huduma bora za kifedha! Benki ya Mwanga Hakika inayo furaha kubwa kuwatangazia kuwa tumechaguliwa kuwania Tuzo za @ccawardsafrica(Consumer Choice Awards Africa 2025).
Tunaomba kura yako.Tembelea tovuti ya CCAA uweze kutupigia kura.
2025: Hatua Kubwa Katika Safari Yetu
Mwaka 2025 umekua mwaka wa mafanikio makubwa kwa benki yetu ya Mwanga Hakika.Tumerekodi faida kabla ya kodi ya kaisi cha TZS bilioni 18, kukuza rasilimali zetu hadi kufikia TZS bilioni 470.
#SafariYaMiaka5#Definingtomorrowtoday
Mipango haikwami na Mkopo Chap.
Pata mkopo kwa kutumia dhamana kama hisa, vipande vya uwekezaji au hati fungani.
Tembelea matawi yetu yaliyopo karibu nawe au tupigie 0747 666 511 kwa maelezo zaidi.
#definingtomorrowtoday
Wekeza upendavyo, rejesha upendavyo.
Kupitia Mkopo Chap, mkopo wa uwekezaji unaokupa uhuru wa kulipa kila mwezi, kila robo mwaka au mara moja ndani ya miezi 6.
#definingtomorrowtoday
Unahitaji fedha haraka bila kuuza uwekezaji wako?
Tumia uwekezaji wako kupata mkopo. Fomu ya maombi ya Mkopo Chap inapatikana pia kupitia PesaHakika App.
#definingtomorrowtoday
Pata Mkopo Chap kutoka Mwanga Hakika Bank kwa muda wa miezi 3 hadi 24 kupitia dhamana kama:
✅ Hati fungani za Serikali.
✅ Vipande vya mifuko ya uwekezaji.
✅ Hati fungani za makampuni zilizo orodheshwa DSE.
✅ Hisa zilizo orodheshwa kwenye soko la Hisa(DSE).
TAARIFA KWA UMMA.
Tunapenda kuwataarifu kuwa matawi yetu yote hayatakuwa wazi siku ya leo, Januari 12, 2026, kuadhimisha sherehe za maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar. Endelea kufurahia huduma zetu za kidigitali.
Bodi ya wakurugenzi, menejimenti na wafanyakazi wa Mwanga Hakika Bank tunawatakia heri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
@mhbbank#definingtomorrowtoday
Elimu ya mwanao ni kipaumbele chetu.
Pata mkopo wa ada haraka na kwa masharti nafuu ili safari yake ya elimu iendelee bila kikwazo.
#definingtomorrowtoday
Januari isikufanye uuze uwekezaji wako!
Tumia hisa au hati fungani zako kupata Mkopo Chap kutoka Mwanga Hakika Bank na ulinde faida yako ya kesho.
#definingtomorrowtoday
Safari ya mwanao kwenda shuleni isiishie njiani. Pata mkopo wa ada kwa haraka na masharti nafuu.
Tembelea tawi letu kujipatia mkopo huu.
@mhbbank#sualakuuniada#definingtomorrowtoday
We were honored to participate in the Fintech Festival Tanzania 2025, the largest gathering of financial technology leaders in East Africa, held at the Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) from June 12–13, 2025.#definingtomorrowtoday
Usisubiri Majanga, Bimika Kijanja!
Kata bima ya afya sasa kupitia tawi letu lolote lililopo karibu na wewe au wasiliana nasi 0747666511
@mhbbank#bimikakijanja
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mwanga Hakika Bank tunampingeza @prof.janabi kwa kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa Shirika la Afya @who_africa Kanda ya Afrika.
Tunatambua mchango wako katika kuimarisha sekta ya afya barani Afrika.