@Roma_Mkatoliki Upinzani ufanyw kazi yake bila kutegemea huruma ya CCM. Mkiwekewa mtego huu utegueni kwa namna ingine thats how chess is played. Ukipewa kesi unayoona ni uongo usilalamike ndio siasa hizo tafuta namna ya kujikwamua. Upinzani haujawahi kuwa mwepesi
@Roma_Mkatoliki Mnakosea sana, si kazi ya CCM kutengeneza upinzani imara. Si kazi ya CCM kusadia chama chochote cha upinzani kukamata dola. Kama hawa ndio aina ya wapinzani waliopo na mnaona hawana vigezo sio kosa la CCM. Kazi ya CCM ni kuendelea kukamata dola na ku-frustrate upinzani PERIOD.
@chapo255 Let the kid get out there to kill an elephant for wealth. If he kills an elephant he will be rich, but if he is killed by an elephant the poverty ends with him.
NTDs | #BajetiYaAfya2024
🌀Watoto milioni 4.1 (75% ya walengwa) wenye miaka 5 hadi 14 walimeza dawa ya Praziquantel, kingatiba dhidi ya KICHOCHO
🌀Watoto milioni 5.1 (75% ya walengwa) wenye miaka 5 hadi 14 walimeza dawa ya Albendazole, kingatiba dhidi ya MINYOO YA TUMBO
@TOTTechs DMZ ni layer ya security ambayo inatenga private network na internet. Lengo ni kuimarisha ulinzi wa LAN, zile huduma zote ambazo zinakuwa accessed na internet kama FTP, mail server zinawekwa hapa. Hii itafanya LAN iwe salama kufikiwa na hackers.
@rollymsouth Wengi pia unakuta huko kwenye microfinances tayari wana mikopo ambayo wana struggle kuilipa ama wamesha default kabisa. Wakopaji wa kausha damu ukiwaangalia vizuri wana tabia kama zinafanana hivi
@rollymsouth Best comment ever, hauko mwenyewe kwenye hili, akiba ya kweli ni afya yako. Kwa kipato cha laki 4 hata bachela hasevu hata mia unless unaishi maisha sub standard.
@Dexters2013@TOTTechs@Ramatech255@innosgram Hili swali sio la kijinga kwa zama za sasa ambazo gender sio Ke na Me pekee! Hapa ndio utaona tofauti kati ya forum zetu na za wenzetu, huku kwetu mtu wa namna hii angepata kila aina ya tusi ila kwa wenzetu huko angepata ufafanuzi mzuri sana