Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Kwa Maoni yangu Mimi, Mimi Ndiyo Nina Cross Exermine, Ila Ooohh Kwa Bahati Nzuri ndiyo anaingia... Huyu hapo..
Ikupendeze Kurekodi kuwa Sote Tupo na tupo tayari Kuendelea
Jaji anaandika Kidogo Mahakama ipo Kimya wakati huu
Kibatala: Mara ya Mwisho Kufanya Mawasiliano na Kingai Ulifanya Mara ya Mwisho ni lini
Shahidi: 10 August 2020
Kibatala: Nikukuombea Upewe Samsung DUO utaweza Kuonyesha Call Record zako na Kingai
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba ya Kingai Unaifahamu
Jaji: Kufuatia Muda na Ombi la Wakili Kiongozi Wa Jopo LA Utetezi, Nahairisha Mpaka Jumatatu Tarehe 31 January ambapo Shahidi Namba 12 ataendelea Kuwa Kizimbani Kutoa Ushahidi
Washtakiwa Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi
Kibatala: Je Unafahamu hata Basic za Intelligence
Shahidi: Ndiyo nafahamu
Kibatala: Je Wakati Mbowe amajiachia Kuongea na wewe Kwenye simu Kuhusu Mipango hiyo ya Ugaidi
Shahidi: Hakunipigia Simu alisema Kwamba Tuonane
Kibatala: Ulisema Kwamba Pia Mbowe alikuomba Makampuni yanayo Install Mawasiliano Ya Jeshi
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Hilo Ombi ni kwamba wewe Ulilichukuliaje, La Kawaida au??
Shahidi: Niliona la kawaida tu
Kibatala: Mimi bado nipo Tarehe 11 na Tarehe 12 August 2020
Kibatala: Wakili alikwambia Wakatinakabidhiana Simu mlisainiana Makaratasi Ma ngapi
Shahidi: Makaratasi Manne
Kibatala: Jana Ulitoa Makaratasi Mangapi
Shahidi: Nilitoa Karatasi Moja
Kibatala: Ulitoa Ufafanuzi Kuhusu Makaratasi Matatu
Shahidi: Siku toa kwa sababu Sikupewa
Kibatala: hukupewa na nani
Shahidi: Na Wakili ambaye alikuwa akiniongoza
Kibatala: Unakumbuka ulikuwa Unafanya Mawasiliano na Simu ipi Mara kwa Mara kwa Mara
Shahidi: Kwa Samsung ya Torch
Kibatala: Hiyo Samsung ya Torch ndiyo Sumsumg Duo
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Kuna Mahala Popote ambapo Umefafanua kwa Jaji Kuwa hiyo Samsung Duo
Shahidi: Hapana
Kibatala: Kwa hiyo Wewe Luteni Wa Jeshi la Wananchi Tanzania, uliwaruhusu Kwamba wakatekeleze Mpango wa Kumdhuru Sabaya Kwa sababu wapo Ground?
Shahidi: Ningefanyaje sasa na Watu wapo Ground
Shahidi: Haikuwa Muhimu
Kibatala: Hii Namba ya 0754612525 ni Namba ya nani
Shahidi: Ya kwangu
Kibatala: Walikwambia Upande wa Mashitaka Kwamba report inaonyesha Namba hii Katika Taarifa Ya Chunguzi
Shahidi: Sikuambiwa
Kibatala: Na Swala lake linaweza Kushughulikiwa Jeshi.?
Shahidi: Linaweza Kushughulikiwa na Jeshi
Kibatala: Mheshimiwa Jaji naomba Kuhairisha Cross Examination Sababu Ya muda Nitaendelea Jumatatu Kama Wenzangu Wataridhia..
WS Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji hatuna Pingamizi
Kibatala: Je Kingai alikwambia Kuwa Bwire amekamatwa
Shahidi: Hakuniambia
Kibatala: Je Maelezo yako si Uliandika Tarehe 12 August 2020
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Katika Maelezo Yako Uliandika Kwamba Bwire Ali Confess
Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
Kibatala: Je Baada ya Bwire Ku Confess Kwako, Ulimwambia Afande Kingai
Shahidi: Sikumwambia
Kibatala: Kwani Shahidi Wakati wa Tarehe 11 August 2020 ulipoenda kwa Inspector Swila alikwambia Kuwa Bwire alikamatwa
Shahidi: Hakuniambia
MMM: nawapenda na Niendelee kuwashukuru kwa Kuendelea Kufuatilia kesi hii ya michongo dhidi ya Freeman Mbowe na wenzake watatu.. Msichoke, MSIOGOPE. Mungu ni wetu sote. Tuwaombee.. Tukutane Jumatatu hapa, tukiendelea tulipoishia.. Nawapenda sana 💕🙏
Adios Amigo Hermanos!
Kibatala: Na Ni simu ipi pia itaonyesha Call Record za Simu Ya Bwire Tarehe 04 August 2020
Shahidi: Ni hiyo Simu ya Samsung Duo
Kibatala: Hivi Ile simu Yako ya Jana Ulikabidhi Simu Lini
Shahidi: Tarehe 11 August 2020
Kibatala: Ulimfafanulia Jaji Kwamba Simu yako inauwezo Wa Kukaa na Chaji zaidi Ya Mwaka Mmoja na Nusu
Shahidi: Hapana
Kibatala: Simu Yako Ilikuwa na Kiasi gani Cha charge Wakati Unamkabidhi
Shahidi: Ilikuwa Chini Kidogo ya Nusu
Kibatala: Shahidi CDF ni Kiongozi Wa Kitaifa au Siyo Kiongozi Wa Kitaifa
Shahidi: Kiongozi wa Kitaifa
Kibatala: lakini wewe Hukuona sababu Ya Ku report Jeshini
Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
Kibatala: haya Ulitumia Basi gani Kurudi Morogoro
Shahidi: Abood bus Service
Kibatala: Je Unayo ticket
Shahidi: Hapana
Kibatala: Mimi na Malya tunafahamu CASA Motel, na Kila Gari Inayoingia pale inasajiliwa
Shahidi: Sijui
Kibatala: namna Mahususi ambayo Bwire alikuwa anaenda Kumdhuru Sabaya Unaifahamu
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Bwire Alikwambia Chochote Kuhusu chochote Kuhusu Bastola aina ya Luger A5340
Shahidi: hajawahi Kuniambia