NAPOLEON HILL
anajibu hili swali kupitia kitabu hiki👇
"Kwa nini baadhi ya watu wanafanikiwa sana huku wengine wenye uwezo unaofanana wakibaki nyuma?"
Tutakichambua hatua kwa hatua huenda tukajifunza jambo katika haso zetu
Na mchambuz wako Mr cleansheet
Mchambuzi msomi
🧵 uzi
Hivi umewahi kujiuliza hili swali
"Kwa nini baadhi ya watu wanakuwa na mali nyingi wakati wengine wanaendelea kufanya kazi maisha yao yote bila kujenga utajiri?"
Mwandishi George clason amerijibu kwenye kitabu chake cha
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na hapa nimekuandalia uchambuzi wa kitabu hiki mwanzo mwisho
Shuka nao👇
MAMBO 7 ya Kuepuka ili Battery yako ya Gari iwe na Maisha Marefu...
.
Kama Umekua na issue ya kumaliza battery mapema ndani ya Mwaka au Miaka 2 battery imeisha, Kuna uwezekano unafanya moja ya makosa kati ya haya 7...
.
Kaa Vizuri ule MADINI...
@Thommunkondya Katika dunia ya ushindani, hujafikiria faida ya kila kampuni ya usafirishaji kuwa na Terminal zao? Vipi kuhusu ubora wa huduma zinazotolewa na hizi kampuni
Tumalize siku na documentaries
1. Operation certain death : The SA vs Siera Leone
2. Inside A cracj House : US drigs gang exposed
3.Surviving Johannesburg
4. Meet the night runners - BBC
5. Trapped in Tunisia - Aljazeera 🙏
Bei ya soda ya coca-cola dukani ni Sh 700, Katika restaurant Sh 2000, airport Sh 5,000 ndani ya ndege Sh 7,000. Soda ileile, ujazo ule ule, utamu ule ule thamani tofauti. Nini nakimaanisha ? Iko hivi Kuna mtu ana digrii moja ya kozi ile, chuo kile kile lakini mmoja anapata mshara laki 3, mwingine laki 7, mwingine milioni 2 mwingine milioni 20.
Thamani ya mtu inatokana na mahali alipo, ukiona unakanyagwa pandisha thamani yako kwa kubadilisha location.Mshumaa hauna thamani mchana kweupe, lakini ni mfalme giza linapoingia. Jua "timing" yako na mahali ambapo "mwanga" wako unahitajika zaidi.
My friend Ukiona sehemu huthaminiwi, usikasirike. Hiyo ni ishara kwamba muda wako wa kuhama umefika. Nenda pale ambapo watu watasema tulichelewa kukujua.Wakati mwingine "location" mpya inahitaji uende peke yako. "Tai haruki na njiwa. Ili upae juu, lazima uachane na kundi linalopenda kubaki chini"
Pambana✍️
Hapa angalau NIDA mmefanya kitu kizuri.
Sitachoka kuwaambia kuna watanzania mmewapa namba
Mwaka wanaojaza kwenye fomu ni tofauti na namba.
Now wanaomba ajira but ajira zina ukomo wa mwaka.
Wakijaza namba ya nida inaonyesha wana miaka mingi.
Watu wa nida nalisema ile ni no tu
https://t.co/8oXHmJgyc2
Tumia link hapo juu kupata kitabu hiki kitakachokupa elimu kuhusu mtindo wa maisha magonjwa yasiyoambukiza kutoka Wizara ya Afya.
Fahamu jinsi ya Kuokoa uhai wa Mtoto mwenye Umri zaidi ya Mwaka mmoja pindi anapokuwa kwenye hatari ya Kupoteza Maisha kutokana na kukwama kwa kitu kooni
Ufafanuzi huu umetolewa na Dkt. Lilian Minzi. Kufahamu utaratibu huu kwa Mtoto mwenye umri chini ya Mwaka mmoja, tazama video yetu ijayo
Credit: Dkt. Lilian Minzi
BRO TO BRO
Hakuna anayekuja kukuokoa, na ukweli ni kwamba hakuna anayekuonea huruma. Dunia haisimami kwa sababu umechoka, maisha yanaendelea bila kujali hali yako. Ukisimama, utaachwa ukijikaza, utaendelea.
Hivyo mtangulize MUNGU kwa kila hatua, kuwa Jasiri na ujikaze kiume, na kupambana na hali yako mwenyewe maana mwisho wa siku, ni wewe tu unayeweza kubadilisha maisha yako.
Usikate tamaa Dunia haina huruma na Mwanaume asiyekuwa na kitu
Mikoani hapaishiwi na fursa.
Kwa 7M, unanunua shamba hekari 3 kwa sh 3M.
4M inayobaki unapanda nyasi za mifugo, unajenga mabanda ya mbuzi na fensi ya mabanzi.
Unanunua mbuzi kama 100.
Unaweka kijana ambaye unamlipa 100k kila mwezi.
Baada ya miaka mitatu pesa inakutafuta wewe