@bonifacejoseph_@arnold148037 Kwenye DSTV channel za mipira some of games inakuwa hadi Ultra 2k na wanakupa option ya kuswitch kama Tv yako inauwezo huo.
Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mahmoud Kombo amesema atafanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuhusu kupunguza idadi ya leseni zinazotolewa kwa kampuni za michezo ya kubahatisha ili vijana waongeze juhudu kwenye uzalishaji.
Tosheka na nafasi ambayo watu wanakuweka katika maisha yao. Usilazimishe umuhimu kwa mtu yeyote. Ukiona hupewi heshima au umuhimu unaoona unastahili tulizana au ondoka kwenye maisha ya huyo mtu. Sio vyema kulazimisha kukubalika.
��Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni, Basi ee ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa…’
- Mzee Ali Hassan Mwinyi
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un 🙏🏾
Miaka nane ya kuugua, huduma zote anapatiwa akiwa kitandani, ameachwa na mkewe aliyeenda kuolewa baada ya kuona haponi.
Sadick Mohamed, mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam anatamani kupona ajitegemee tena, hivyo anaomba msaada wa matibabu. Mawasiliano yake ni 0789783082.