@MimiHearts1 No, I consider religion in marriage for a wife is a mother of our children, who must program Our children's minds, so if we have different religious beliefs we ought confuse our own versions.. Therefore, NO.
@HKigwangalla Ila Kigwangalla rafiki yangu unadharau sana, kama unajua unnecessary costs zipo nyingi na kubwa kuliko hii kwann utake tujadili,,, you are there to solve problems braza usidhalilishe cheo chako... Unaniudhi braza,,,, tetea wanyonge..
Kama CCM wanataka utaratibu wa machifu, walete sheria ya kuwatambua. Sheria yao ilifutwa mwaka 1962. Ni ajabu Rais wetu kushiriki tendo lisilo la kisheria. Machifu wana taratibu za kulinda himaya zao. Mmejiandaa kwa ukabila na ukanda? Tumetoka huko. Imarisheni umoja wa kitaifa ๐น๐ฟ