@Sirajitz1 Sio bahat mbaya apo alitumia rasilimali mbususu kutatua shida na hyo ndo ufanywa na wale dadaz pale river side
Kama n bahat mbaya je we mpenzi wake alikushirikisha kuwa ana shida fran ukashindwa kutatua au?
@fintanjr_ Unakuta mtoto amepata mama bora baba sasa ajapata mke bora most of the woman ukishazaa nao wanaona ndo bas we wamekunasa wanatumia mtoto kama fimbo ya kukucontrol apo ndo wana wanaamua kuwakataa wote