@tonnie_wa_juja Kwa hivyo hawezi kosa pesa, kumbe jamaa ni kweli alikua na pesa sa unaelewa venye ulevi hukua mbaya jamaa akaamua kumeza pesa ππ jamaa alimanange kumeza pesa lakini hao mafala ka si karao huyo jamaa angeuwawa, alikua anagongwa ngumi uso inagonga ukuta π
@tonnie_wa_juja Usiwai tamani kupelekwa thika π tulishikwa Sunday usiku tukiwa walevi tukapata wasee wametoka rumande wanafaa kwenda kotini Monday,ka room kananuka mkojo so tuka porwa ka kawaida sa kuna jamaa ilipatikana na tools mmoja wa hao wasee wa rumande akaanza kusema huyu ametoka umalaya
Story Za Tonnie Sn 3 Ep 8 (Tenda Wema Pewa Tako πππ¦)
"Tenda Wema..." is a famous swahili saying, but let's be honest, it is also the hardest to executeπ. It's hard to find a person who does good without expecting something in return, well, I once did. Skiza Story....