Mji wa Migoli, Iringa, gari ambalo liliwabeba vijana wa BAVICHA wakisafiri kutoka Shinyanga kwenda Iringa wamesimamishwa barabarani na askari polisi wakiambiwa Rais SSH anapita hapo, wakaambiwa wakae vichochoroni Rais asiwaone kwenye msafara, waliohoji, wamekamatwa, wapo mahabusu
This is Uhuru Kenyatta.
He has sons, None of them is the next president.
He has a daughter, she's not the next president.
He has a wife, she is not the next president.
He has served and is walking out, with his whole family.
This is REAL PATRIOTISM.
Asante sana Mweshimiwa Rais
Kwa hili linaloendelea kwenye sherehe ya wiki ya MWANANCHI kuna viongozi Yanga SC wanapaswa kupelekwa Kamati ya maadili kama TFF walifanya mawasiliano ya Kiofisi juu ya hukumu ya Haji, kisha viongozi hao,leo wameamua KUKIUKA maamuzi ya Kamati ya Maadili KIJEURI namna hii.
Kiko wapi kiburi na jeuri ya Ally Happy. Leo kaamka sio mkuu wa mkoa tena. Alifokea mpaka wazee wastaafu wa chama chake. Leo anaamka ana status sawa na yule binti mfupi wa Chadema. Madaraka yasitufanye tukajiona wakubwa kuliko wengine.
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz amekutana na kufanya mazungumzo na
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 Julai, 2022 kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
"Natoa wito kwa Serikali kujitokeza, iwe ni Rais au Waziri Mkuu ama Waziri wa Katiba na Sheria kusema mchakato wa #KatibaMpya unaanza lini, kwa utaratibu upi. Msimamo wetu sisi Chadema ni kwamba mchakato wa #KatibaMpya uanze sasa na ukamilike kabla ya mwaka 2025." Mhe. @jjmnyika
"Natoa wito kwa wanachadema wote kuendelea na kazi kila mahali, kwenye vijiwe, misingi na matawi ya chama kupandisha bendera kama ishara ya kwamba tunaendelea na mapambano mpaka kieleweke." Mhe. @jjmnyika
Katibu Mkuu Mhe.@jjmnyika
akizungumzia juu ya uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwenye kesi namba 16/2022 na kutoa msimamo wa chama.
https://t.co/ziIyeWZPD3
Tunapopata matatizo tunatamani vyombo vya habari na wanahabari wapaze sauti juu yetu. Pindi wanahabari ama vyombo vya vinapopata matatizo ukimya wetu ni usaliti dhidi ya haki. Ukimya wa kutopazia sauti kituo cha @darmpya_ ambao wanabanwa softly kwa kigezo cha leseni ni usaliti.
"Ukiniuliza Kuhusu Magufuli, Sitamung'unya Maneno Kumtafsiri. Alikua Rais Mbaya Na Mambo Yake Yalikuwa Mabaya Na Hakustahili Kabisa Kuongoza Nchi Hii" - JENERALI ULIMWENGU
#KatibaMpyaNiSasaRasimuYaWarioba