#UZI
Jukumu La Kukemea Na Kuonya Unayoyaona Ni Maovu/Mabaya Na Yasiyofaa Yanayotendeka Kwenye Taifa Lako Ni Jukumu Letu Sote!Uwe #Mwalimu#Daktari#Mjasiriamali#Mkulima#Mwanafunzi#Jobless Yoyote Yule!Siyo Jukumu La Msanii Tu Peke Yake!!Sauti Ya Wengi Ni Sauti Ya Mungu!! 👇
Tumefika hapa kwasababu wakuu wa jeshi la polisi wametaka iwe hivyo.. inakuaje katika karne hii eti kiongozi wa chama fulani cha siasa anaita askari polisi na kumwambia upuuzi kama huu.. huyu ni moja walau ameonesha kutotii ujinga, wangapi wanatii upuuzi mwingi ambao hauonekani!!
Nimesikiliza speech y’all @MagufuliJP leo kwa makini. Nimetoka na conclusion 1: Lowassa kakufurahisha kwa sababu yuko kimya. Swali langu: kusema ni kuvunja sheria za nchi? Kukusema wewe na kukushauri kwamba kuna mambo unayofanya hatupendi ni kuvunja sheria za nchi?
Mbunge mwenzio yupo hospitali mwaka sasa kwa majeraha ya risasi kufuatia jaribio la kumwua. Viongozi wa Chama chako Karibu wote Ngazi ya Taifa wana kesi inayohatarisha kuwaweka jela. Watu wanauwawa na kupotea kila siku. Halafu unajiunga na hao wanaosababisha hayo? Kweli Mwita?