🚨 SIRI YAFICHUKA
Kumbe hawa mapunter zile kampuni zao wanazozipromote watu wabetie zile kampuni huwa zinawapa demo accounts inaonekana wamestake million 2 ama wameshinda million 20 huwa ni uongo zile ni demo account
“Kipa kama Diarra, amebadilisha mpira wa makipa wengi Tanzania, yeye ndiyo amebadilisha mfumo wa kucheza, ninajifunza vitu vingi sana kwake".
Mwalimu Hussein - Kipa wa JKT Tanzania.
“Mimi nimekuwa nikifuatilia mpira wa nje, kuna muda timu ya Taifa ya Uhispania wanatoka wachezaji wawili tu Real Madrid, inapofika Timu ya Taifa tuache tofauti zetu”.
Mohamed Hussein
Ndugu zangu, leo tukaianze tena safari yetu ya matumaini tutakayohitimisha 29/09
594EQ9
Tutakuwa tunaichambua hatua kwa hatua pamoja na kila hatua nitaiweka hapa mpaka tunafikia msimbo wa mwisho hapa hapa
Inabidi kufanya hivi maana nimeona katika hatua za kuchambua katikati humo ndimo kunatoka msimbo wa ushindi badala ya kuwaletea tu final draft ambayo wakati mwingine inaanguka na kubaki usiyoitegemea
Lets go
#Underated_pro_punter
💥💥💥BOOOM 🔥🔥🔥🍀🍀🍀
We did it again 🥂
VVIP Odds 5.7✅🔥🔥🔥💥💥☄️💫
Nicheki whatsap👉📲0759533343 tufanye kazi
Only on WEKAWIN🟡🟢
JISAJILI⤵️
Reg link👉https://t.co/9TKaiDGhyo
Promocode: MTAALAMU
Wakuu kuna siku mtu unatupia mikeka hata 10 tofauti tofauti
Sasa katika hali ya kawaida naangalia mkeka ambao nina confidence nao ndio nauweka hapa
Leo tu nikiweka list ya mikeka yote sijui kama mtu huwezi changanyikiwa
Tizama hapa
1. 66R9DR
2. 6RT8RT
3. 6EWX0Y
4. 5C2QTH
Misimbo yote hiyo nimeirudia mara mbili mbili
Lengo ni ikitokea mkeka unasua sua mmoja nau cash out mwingine nauacha utembee
Sawa, tutasimama tujikung’ute mavumbi tuendelee ila kwa hili huyu Saka, Kai na Raya sitaweza wasamehe abadani
Milioni 600 kweli!!
Dah anyway wacha tumalizie hangover turudi kazini.
Sijawahiiii Doubt juu yako
Exclusive zako
Zimefanya kuna wanangu mtaa
Wanajua na me fabrizo
Nawakamata hasa kmmk
Kongole kwako mzee
Mungu akupiganie kupata taarifa za kiswahili sio kazi rahisi
Siwezi kuk laumu nimesoma na nime sikiliza zile hustle zako kipindi umetoka mpaka unaenda clouds aiseee ni halali ununulike mwanaume unakua malaya malaya kisa Shafiii kapost na wewe una post mli shirikiana kuongwaaa