Muda si mrefu nakuja kukujuza mchongo utakaokuwezesha kuingiza hela kiulaini kabisa kupitia simu yako ya mkononi,Turn on post notification kabisa.
#WeAreEverywhere
Kila msanii hapa akifungiwa kwenye chumba chake na producer mmoja bila kuwepo mwandishi(songwriter) wa kumuandikia mtu wimbo,wakapewa masaa matatu unadhani nani atatoka na Hit song...?
Mtumie boyfriend wako hata 200,000 Tshs Pasaka hii kama shukrani ya kukuchagua wewe kati ya wanawake zaidi ya bilioni 4 walioko duniani.
Heri ya pasaka Wakristo wote duniani.
#WeAreEverywhere
Ngoma Kumi na moja(11) kubwa zaidi Tanzania 2023
(1)Enjoy by Jux ft Diamond
(2)Single Again by Harmonize
(3)Shu! by Diamond
(4)Honey by Zuchu
(5)Sumu by Alikiba
(6)Sele by Mbosso
(7)Ameyatimba by Whozu
(8)Shugga daddy By Jux
(9)Shisha by Marioo
(10)Yaya by Rayvanny
(11).........?
Vipi Unakubaliana na mtazamo wa director #hanscana..?
Tembelea youtube channel yetu ya Middle Simba kwa taarifa nyingi zaidi.
#weareeverywhere https://t.co/qOrBJq3zTl