Midundo media is an online digital platforms (Radio & Tv )showcasing East African Artists Innovators and entrenchment life style 24/7 Afro fused vibes.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya #ibraah akiiwakilisha #kondegang ametangaza ujio wa Album yake mpya kupitia ukurasa wake wa Instagram itakayotoka mwaka huu ambayo ameipa jina la "NEWS".
Harmonize ameshare kwenye page yake ya Instagram kwamba ni mapema sana kusema nyimbo yake ya #Furaha kuwa ni nyimbo bora ya mwaka wakati upande wapili kuna #MeToo ya aliyoshirikisjwa na @abigail_chams ambayo inasumbua sana.
Kati ya #Furaha na #MeToo upi ni wimbo wako pendwa?
Producer wa @Wcb_wasafi@Lizerclassic ametangaza nafasi kwa wasanii wapya kujiunga na lebo hiyo kubwa africa mashariki na kati.
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza fursa hiyo huku akitaja vigezo vya kujiunga na lebo hiyo.
6. Tuma account yako ya Instagram ili tuweze kukufahamu zaidi.
7.Uwe Mtanzania 🇹🇿
Tuma kupitia namba ya simu ifuatayo: 0674739353 (whatsapp pekee,usipige simu)
Hakikisha unatuma vitu vyote vilivyotajwa hapo juu.
Maombi yanapokelewa kuanzia sasa hadi Tarehe 4-2-2025.
Tuma kupitia namba ya simu ifuatayo: 0674739353 (whatsapp pekee,usipige simu)
Hakikisha unatuma vitu vyote vilivyotajwa hapo juu.
Maombi yanapokelewa kuanzia sasa hadi Tarehe 4-2-2025
Sms Zitaanza kujibiwa ndani ya masaa 48.
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza fursa hiyo huku akitaja vigezo vya kujiunga na lebo hiyo.
Vigezo:
1. Uwe unajua kuimba vizuri nyimbo za aina tofauti tofauti. 🎙️
2. Uwe una uwezo wa kuandika nyimbo zako kwa ufasaha. ✍️
3. Uwe unajua kucheza 💃🕺
Ibrah wa konde gang amesema kama asiposhinda tuzo basi anaanza kuimba amapiano tu ili awe msanii wa SA, huyu tumwambie kuhusu kina belle 9 au tumuache kwanza?
Reporting from Midundo Online Radio is Mr Kjetil Schie, Head of Development Cooperation, Royal Norwegian Embassy (RNE) in Tanzania. Midundo Online Radio is pivotal in empowering
We are excited to announce a joint effort with our thought partners that will amplify and celebrate creative champions who are using artistic/ cultural expressions, media, and immersive universes for economic, environmental, and social impact.
When cultural values and ideas from individual artistic expressions clash...
■ Key highlights from our forthcoming report - Mapping the Status of Artistic Freedom in Tanzania.
Watch the space for the launch of the report!
Are you the missing piece of the puzzle at CDEA?
We would love you to join our creative think tank as our Fundraising and Partnerships Consultant.
For details, click the link below.
https://t.co/ZPDD5aXe0l