Unatia matumaini sana ya genuine struggle. Siku zote smile,positive confession ni msingi bora ktk imani yako, unatenda sana mambo ya tabia za KIUNGU, sijui hata kama wewe unajua, lakini ndio maana wewe ni mshindi. Maadui zako wakiendelea kukutesa , Mwenyezi Mungu ataanza kuondoa mmoja mmoja. Wanapanga hila na hujuma ktk uchaguzi wa kupata viongozi, wote wanaoshiriki dhambi na hujuma hizi hawatakuwepo. Laiti wangejua wakarudi nyuma na kutubu. Fimbo ya Mungu itakuwa kali sana kwao na familia zao ktk siku sio nyingi. Mshahara wa dhambi ni mauti na Mwenyezi Mungu adhihakiwi. Usiogope.
Tafakari na Ushuhuda ya Eid Al Uddha.!
Mara zote wakati wa kufunga mkutano unapokaribia huwa tunamaliza kwa kuweka chagizo la fedha maarufu kama Tone Tone.
Makamu Mwenyekiti @HecheJohn
akiwa jukwaani na kapu la chagizo mimi huwa na chukua kikapu kimoja napita nyuma ya mkutano kuchangisha wale wanao ona aibu au kuogopa kwenda mbele ya jukwaa kupeleka michango yao.
Jana tulipokuwa Kilombero kata ya Ruaha nilishuhudia mambo ya ajabu kidogo.
Wakati napita nyuma ya mkutano kuchangisha nilikuwa naitwa na watu kadhaa waliokuwa wamenyanyua fedha zao ishara ya kwamba nipite kuzichukua.
Nikiwa mbali zaidi nilitwa na wakina dada kama wanne waliokuwa nje ya flemu kama saluni.
Nilifika nikanyoosha kikapu ili walioniita wachange kama wenzao,walichanga wawili tshs 2000 kila mmoja na wakaniambia aliyetuambia tukuite yupo ndani.
Alikuwa ni mbaba nadhifu mwenye suti maridadi,kwa sauti ya chini akaniambia "Mimi ni Mtumishi wa Umma ,nisamehe nimekuita huku ili mashushu wasije kuniona nikichangia CHADEMA,tuliitwa hapa kuja kuzuia mkutano wenu,ila nimependa ujumbe wenu wa No Reforms No Election kisha akaingia kwenye koti lake la suti akachanga Tsh 100,000/=
Wakati ninafuraha kikapu changu kinakaribia kujaa
Ghafla kwa mbali aliniita bibi mmoja ambaye alikuwa amekaa chini kwa kunyoosha katika nyasi,nguo zake Kukuu na alikuwa amejitenga sehemu ya peke yake.
Wakati huo tayari ni saa 8 na nusu mchana na tayari msafara ilikuwa umeanza Kutoka uwanjani kuwah mkutano wa saa 10 jioni Morogoro mjini umbali wa kilometa 218.
Roho ilisita sababu ya haraka lakini kwakuwa zoezi la uchangishaji ni la hamasa nikajisemea hata aikichanga tshs 200 inatosha kuwa motisha kwa wengine.
Nikiwa nimemsalimia na kusimama mbele yake huku kapu nimepeleka mbele kusubiri mchango wake.
Bibi alikuwa anafungua pindo la kanga yake kwa tabu sana na muda mrefu huku akirudia neno "msichoke msichoke, mschoke"
Baada ya dakika kadhaa bibi alitoa fundo lake la pesa,ilikuwa ni Tsh elfu 25,akatoa mchango (tonetone) elfu ishirini kisha akasema anabakia na tshs efu tano kwa ajili ya bodaboda ya Kurudi kijijini kwake.
Nilishangaa sanaaaa, bibi kutaka kazi ya kudai mabadiliko ya kisheria na kimfumo ifanyike kwa gharama ya mchango wake.
Hadi leo nimekaa na kutafakari,kama bibi anaimani kubwa kiasi hiki vijana watakuwa na kisingizo gani..?
No reform No election.
I Pray For You Mr Chairman. Tuko Imara sana toka ulivyotuacha Mbinga na wewe kufungiwa gerezani. Matatizo na uonevu umeendelea kuwa mkubwa zaidi kuliko wkt wowote ule, watu wengi waliumizwa vibaya siku ile ya ya kwanza uliyopaswa kuletwa mahakamani, pia nina mashaka na wasiwasi mkubwa kama Mdude bado yuko hai. Hata hivyo jipe Moyo Mkuu sana huku ukijua kwamba utukufu wa mwisho utakuwa mkubwa kuliko ule wa mwanzo.
Hatutaki chaguzi ambazo watu wetu wanauwawa kama kuku.
Kama wanaua mtu kwasababu ya uchaguzi wa Kitongoji, watafanya nini kwa uchaguzi wa diwani, Mbunge au rais?
#NoReformsNoElection
KWANINI UOMBE GREEN CARD LOTTERY MWAKA HUU?
UOMBAJI GREEN CARD LOTTERY MWAKA HUU OCTOBER 2024
Green Card Lottery (Diversity Visa Lottery) mwaka huu ni OCTOBER 2nd hadi NOVEMBER 5th, 2024.
SHARTI KUBWA NI LA DV LOTTERY PHOTO
Uombaji wa Green Card Lottery una masharti mengi sana. Moja ya sharti la msingi ni kuwa na DV LOTTERY PHOTO kuzingatia masharti ili kuongeza uwezekano wa kushinda.
Kuanzia leo tumeanza rasmi kupiga picha na kuchukua taarifa rasmi ili kufanyiwa application mapema mno na kupewa confirmation number.
KAMA UNA FAMILIA NJOO NA FAMILIA YAKO NI LAZIMA WAPIGWE PICHA. Mtoto ni yule aliye chini ya miaka 21 yaani kuanzia 0 hadi 20 uje naye pamoja na mke au mme wako wote mpigwe picha na kujaziwa.
GHARAMA
Hazijabadilika. Ukiwa single na huna mtoto ni Tsh 20,000 na ukiwa na familia haijalishi watoto wangapi ni Tsh 30,000
EBM SCHOLARS OFFICE LOCATION
Office ipo nyuma ya Sky City Mall. Hii ni mall jirani (opposite) na Mlimani City Mall utaona bango na direction. Au piga simu 0766-326326
Muda wa kazi: KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI HADI SAA MOJA JIONI KUANZIA OCTOBER 2 HADI NOVEMBER 5.
Karibuni sana.
Asanteni sana. Follow our instagram accounts
@ebmsignature na
@ebmscholars
EBM SCHOLARS
https://t.co/rhxnDXkb9V
KUOMBA GREEN CARD LOTTERY KWA WATANZANIA MWAKA HUU WALIO MBALI NA OFISI YA DSM
HUDUMA YA KWA WALIO MIKOANI KUOMBA DIVERSITY VISA PROGRAM KUPITIA EBM SCHOLARS
HUDUMA YA KUFANYIWA MAOMBI YA GREEN CARD (DIVERSITY VISA PROGRAM) KUPITIA EBM SCHOLARS KAMA HAUPO DAR ES SALAAM, TANZANIA
Kwa wale ambao hawapo Dar es Salaam, Tanzania kwa maana ya kwamba hawawezi kuja ofisini kwetu kwa ajiri ya kupigwa picha na kufanyiwa maombi, tumeandaa utaratibu wa kuwawezesha kutuma taarifa zao na picha na tutafanya editing ya picha ili kukidhi masharti na kufanya maombi, kisha kukutumia confirmation number kwa wakati.
Fungua link hii https://t.co/Vn33BdL0Tk ili uone fomu ilivyo, na jinsi ya kupiga picha na kuzituma. Malipo yanafanyikwa kwa MPESA na LIPA NAMBA.
Hakikisha unapiga picha zaidi ya 3 hadi 5 hivi ili tuchague nzuri na kuifanyia marekebisho. Kama picha itakuwa inahitaji kurudiwa tutakujulisha.
Usiache kuomba mwaka huu sababu ya umbali. Huwezi kujua kama huu ndio mwaka wa bahati yako.
Karibu sana
EBM SCHOLARS
https://t.co/GRp6uOOt4z
Namna ya kudeal na HIGH CIRCLE people ili uweze kufanya nao biashara fanya yafuatayo:-
APPEARANCE YAKO IWE HIVI:-
1. Vaa Mavazi ya Gharama (Brand)
2. Kale sehemu zenye Gharama.
3. Behave sawa na watu waliokuzunguka.
4. Jitahidi uwe na simu ya Gharama pia.
5. A Morden PCs kama MacBooks, Slip laptops etc.
6. Weka ofisi yako ktk mazingira Expensive ili upate watu Expensive Clients.
7. Usafiri ni Muhimu kuwa nao ili kukupa confidence na Value.
8. Obey Time and Capture the Day.
9. Tengeneza MFUMO wa utoaji huduma zako.
10. Muombe MUNGU akupe KIBALI mbele zao.
Hivyo ni vitu muhimu kukuvuta kwenye High Circle ili uweze kuconnect na HIGH PEOPLE.
CHARACTERISTICS ZA HIGH CIRCLE.
- High Circle, hawaamini ktk GHARAMA, Bali wanaaamini ktk QUALITY .
- Wananunua/Wanadeal QUALITY not QUANTITY!
- Hawapendi negotiations za Muda mrefu! They need only facts on your price.
- Hawapendi Kona kona!
- Wana recommendations connects nyingi. Ndio maana ukifanya kazi na mmoja, ni rahisi kupata kwa mwenzie.
Yours,
@sajo_mwaihabi.