Hii press ya GWAJI BOY ilifungua ndonga za watanzania wengi sana.
DIKTETA JIKE linaisoma namba huko.
Jitu linasema lilichaguliwa kwa asilimia 90 linaapishiwa MBUGANI.
Kila siku watu wanaongelea maandamano.
Miji mikubwa MAGARI YA MAASKARI, WANAJESHI na mabuduki wanazurura zaidi ya mwezi mzima.
Na huu sio mwanzo SAMIA huu ndio utakuwa UTARATIBU wetu kama taifa wewe si CHURA KIZIWI?
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kitendo cha JWTZ kutoa kauli kuhusu Sabasaba, kina wapa jukumu la moja kwa moja kuhakikisha kwamba Polisi afanye mauaji yoyote, wameingia wenyewe kwenye WAJIBU
JWTZ wanapotoa kauli vyombo vingine vyote vya ulinzi vinakuwa vimepoteza wajibu wa majukumu yao ya kawaida na majukumu yanakuwa ya JWTZ
Kwa maana nyingine leo jeshi limetangaza kuchukua jukumu la ulinzi wa Nchi na kuhakikisha kuna amani na usalama kwa watu wote
CDF unajichanganya sana, unakwenda JELA, huu uzembe umeingiza siasa jeshini utakwenda Jela
Msiba upite na Maandamno ya 7/7 yapite kwanza maana naona ni kama kuna watu wanafanya kila ambalo wanaweza ili kumpa nafuu Nduli Idd Amin Mama ambae kauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.
🙄🙄 huyu ni nani? Mbona hadi sauti yake inatetemeka?
JWTZ ipo barabarani inatisha waajiri wao yaani wananchi na kuwalinda akina Mwaipopo na Abdul wanaoleta vurugu ikiwemo utekaji na mauaji! So mnalinda wanaofanya vurugu tayari
Wananchi safari hii tunajua we are on our own - hata msiwe na shaka ila
#77Tunatoka #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa @HecheJohn.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Baba Askofu nakusalimu. Hili jambo huwa linanitafakarisha sana. Kanisa linapomchagua mwanasiasa kuwa mgeni rasmi kwa kuamini kwamba kupitia kwake litapata fedha nyingi.
Msingi huu wa fikra unawajengea wanasiasa dhana kwamba ili wakubalike na kuheshimiwa, ni lazima wawe na uwezo wa kutoa fedha, haijalishi zimepatikanaje. Kwa namna hiyo, tunachangia kulea utamaduni wa ubadhirifu na ufisadi katika uongozi.
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, bila kukusudia, Kanisa linaweza kujikuta likihalalisha mfumo unaodhoofisha uadilifu. Nafikiri waumini wanahitaji fikra mpya zitakazotanguliza maadili kuliko fedha.