Wakati wenzetu watakuwa wanafanya maandamano Tanzania leo huko Mbeya, Tanzania.
USA tunafanya maandamano kesho, Ijumaa, November 10, 2023 kwenye ubalozi wa UAE.
Lengo kupinga mkataba wa Bandari na kudai Katiba Mpya sasa.
Fr. Edger Ngowi aandamana Ufilipini kupinga Mkataba wa Bandari, kudai Katiba Mpya na Kupinga Wamasai Kuhamishwa kwa nguvu kwenye ardhi yao ya asili.
Fr. Ngowi amefanya maandamano haya kwenye mnara wa RIZAL, Manila, Philippine.
My job at Simba is as a goalkeeping coach.
I am a club coach.๐ซก
My club needs me to work as interim head coach until the new head coach arrives and I accept this new experience with enthusiasm and the desire to work hard to regain everyone's enthusiasm.
Let's go my lions!!๐ฆ๐ฆ