@Cheka___tz Kampuni ya usafirishaji wa mizigo nchi kavu,majini,angani..kampuni hii makao makuu yake ni Copenhagen Denmark ambayo ina magari ya usafirishaji mizigo,ndege na meli..kwa ukanda wa east Africa ni maarufu Kwa usafirishaji wa mizigo kupitia bahari Kuna makontena mengi sana ya MAERSK