China iko mbioni kujenga meli maalumu ya Utafiti isiyoongozwa na mtu. Meli hiyo itatumia utashi bandia ( Artificial intelligence) na pia itaweza kuwasiliana na vifaa vingine vyenye uwezo wa kujiongoza pasi na muingiliano au msaada wa binadamu.
"Wale mtakaoweza kusafiri ni ruksa siku 2 au 5 kwenda kumuona Mama yako si vibaya, hakuna dhambi kufika nyumbani, isipokuwa wale waliozuiliwa na Waziri Mkuu lakini wengine mjipange ili ofisi msiziache wazi" - Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Makundi makubwa ya Wananchi wa Marekani, wanazidi kuongezeka kwenye Benki ya Chakula nchini humo ili kuweza kupata chakula cha kujikimu katika kipindi hiki cha sikukuu za Krisimasi.
Ripoti kutoka Califonia, Wisconsin, Newyork, Texas na Carolina ya Kusini na maeneo mengine,
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza, amefariki dunia usiku wa Disemba 24, 2020.
Taarifa za awali zinaeleza amefariki akiwa Hospitali jijini Dodoma.
President Trump met with Kenyan President Uhuru Kenyatta Thursday to discuss a future trade deal between the two countries, as the U.S. tries to counter the influence of China on the African continent. Trump said… https://t.co/5KZ78BT5fR
Inashauriwa kujiongeza Kama upo kwenye izi career kwa sasa
🤔Unahisi wanatakiwa kujiongeza vipi waliopo kwenye hizo fani?
#jiongeze2020#jiongezeproject#tanzaniayaviwanda https://t.co/mlW4Zo93m1