اترك باب القلب مفتوحاً عندما يرحل أحدهم، فذلك لأن آخر علـى وشك الوصول
Uache wazi mlango wa moyo wako pindi mtu anapoamua kuondoka. Wala usijali, hilo limetokea kwa sababu kuna mwingine yupo njiani anakaribia kukufikia, (huenda akawa ndio faraja yako ya milele).
I hope you get to experience the feeling of looking back one day and realizing that all those terrifying, quiet risks you took to build a life you loved were entirely worth it.
Na unapoomba usiku wa leo, omba nguvu katika udhaifu wako. Mwambie Mungu awe nguvu yako pale unapopungukiwa. Si lazima kubeba yote peke yako.
Neema yake inatosha..!!
Hiv marefa kama hawa sisi ndio tumekosa kabisaa..Refa anachezesha akijua hii ni mechi kubwa anatumia akili,sheria na busara kwa wakati mmoja,waamuzi wetu oneni aibu kwa matukio yenu ya kushangaza,watu wanapenda furaha na uhalali wa mpira,jifunzeni sio dhambi..
Na siku ukifanikiwa, usisahau ulipotoka. Mizizi ikikatwa, mti hukauka. Simama katika ukweli, tembea kwa unyenyekevu, na acha maisha yako yawe somo kwa wengine.
Good morning 🌞
Pesa haiwezi kununua upendo wa kweli, wala amani ya moyo. Lakini pesa inaweza kukupa uhuru wa kuchagua, inaweza kukupunguzia mateso mengi ya dunia hii. Bila pesa, hata ndoto zako zinabaki kuwa mawazo tu. Usiweke moyo wako wote kwenye pesa mpaka ukasahau utu wako.
Neema inakubeba, kibali kinakutambulisha, na utiifu unaifungua njia ya mafanikio.
Usikimbize mafanikio, jenga uhusiano na Mungu, na njia zako zitanyooka.
Good Morning.