@davis_henry_@SharonMontana20 Spotclav no jina la biashara (trade name) la dawa amoxclav, ampliclox ni muunganiko was dawa mbili(ampicillin+cloxacillin) pia ampiclox haitibu typhoid ila spotclav ni sahihi kwa kutibu typhoid
@Sharb84@EduTalkTz 1 wafalme 6:
27. Akayaweka hayo makerubi katika nyumba ya ndani; na mabawa ya makerubi yakanyoshwa, bawa la moja likafika ukutani huko, na bawa la kerubi la pili likafika ukutani huko; mabawa yao yakagusana katikati ya nyumba.