@yacnhasheem Kaka mimi naomba maelekezo ya namna ya kudownload 1xbet app kwenye iphone maana nimeitafuta application yao bila mafanikio. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Asanteo
@TeeZeeKing How do I get these games so I can place a bet my brother? I’m from Tanzania and a big fan of you. betwinner is currently unavailable in this region
@julip202 This is a heartfelt message and I wish kila kitu kiende kwa vile unavyotazamia kwa sababu you have shown higher confidence and honesty in expressing what you exactly want and what a pure intention miss. I reckon you get what you wished for as how I’m wishing for this. With Love!
@Mtalojr28 @Bett4life Nilipata msaada muda wa saa mbili usiku wa jana na ninashukuru kwa ambacho nimewekewa. Kilichobaki nitajaribu wakati ujao. Nilielezewa kuwa kuna changamoto ndogo ndogo nami nikaelewa. Kwa ROMANO MTEJA NI MFALME🙏🏽
@Mtalojr28 @Bett4life Mkuu, nina 1.4M since last week nikija dirishani naambiwa hakuna float. Ile speed ya Air Romano imebaki nadharia au? KYLD nimeambatanisha na CODE nikaambiwa nipo Verified ila kimya mpaka nimeona nikuandikie wewe mwenyewe boss kubwa labda unaweza weka uzito kwenye hili. Asante!