Tangu nigundue unaeza kula ugali asubuhi sijai rudi nyuma, napika ugali kubwa usiku inatoshana na ile dish ya dstv, yenye imebaki nakula asubuhi nashiba kama python siku yote
Nimeandikia dame flani "NITAKUDINYA" nikamtumia Kumbe imeenda Kwa boss yangu madam 💔😭. Sahii Niko Kwa office yake anadai quicky ama anifute kazi Na vile Ni mono🥺🤦🏻♂️🙆🏻♂️