“I used to fear Excel… now I track my work confidently.” Ann a participant
That’s not just a skill.
That’s dignity. That’s independence. That’s transformation.
Invest in women. You change everything. @helptohelpea#Nashindwaje
Energy, growth, and a moment to celebrate 🎓✨ all thanks to @HelptoHelpea
From the first day to now, the shift is real.
Skills built. Confidence growing. Connections formed.
And today? We celebrate how far they’ve come… while the journey continues.
#Nashindwaje#TGEE2026
Leo tunaadhimisha hatua muhimu ya safari ya #TGEE2026 🎓
Wasichana 100 wamejijengea ujuzi, kujiamini na mtandao wa wenzao kutoka mikoa 20.
Hii ni hatua moja tu athari inaendelea kuonekana.
#Nashindwaje
Out of 1092 applicants, 100 young women were selected for BootCamp 2026 (March Edition).
Today, they graduate with essential ICT skills, career readiness, and the confidence to thrive in the digital economy.
#BootCamp2026#Nashindwaje.
Leo washiriki wa TGEE Bootcamp 2026 wanamaliza mafunzo yao .
Nyuso za Tabasamu lakini kubwa ni kwamba ujuzi waliopata utawasaida siku zijazo
#Nashindwaje@HelptoHelpea
Je, unafahamu umuhimu wa @HelptoHelpea IT Bootcamp?
Programu hii huwapatia washiriki ujuzi wa kompyuta, pamoja na stadi za uandishi wa CV na barua pepe za kikazi, ili waweze kushindana kwa ufanisi katika soko la ajira.
#Nashindwaje
Kupitia HelptoHelp IT Bootcamp, washiriki wanajifunza stadi muhimu za kidigitali kama vile matumizi ya kompyuta, kuandaa CV bora, na kuandika barua pepe za kitaalamu. Mafunzo haya yanawawezesha kuwa tayari, kuonekana kitaalamu, na kung’ara katika dunia ya ajira.
#Nashindwaje
“Kwenye soko la ajira ushindani ni mkubwa sana ,maandalizi sahihi ni muhimu sana na hapa kwenye hii TGEE bootcamp @HelptoHelpea watahakikisha mmepata mafunzo sahihi yatakayowawezesha kuwa na ujuzi sahihi maishani”muwakilishi @Sida#Nashindwaje
“Kwenye soko la ajira ushindani ni mkubwa sana, maandalizi sahihi ni muhimu sana na hapa kwenye hii TGEE IT bootcamp @HelptoHelpea watahakikisha mmepata mafunzo sahihi yatakayowawezesha kuwa na ujuzi sahihi maishani” ~ muwakilishi SIDA @SwedeninTZ#Nashindwaje
Katika karne ya sayansi na teknolojia, @HelptoHelpea mnaupiga mwingi sana kuandaa kizazi hiki cha kuwa na ujuzi sahihi wa kushindana katika soko la ajira na hata kujiajiri wenyewe kwa mwongozo sahihi watakaoupata. Hongereni sana kwa kazi nzuri @helptohelpse#Nashindwaje
Kambi ya Mafunzo ya TEHAMA yaani “Technology for Gender Empowerment and Employability (TGEE)”, imelenga KUZIBA PENGO LA KIDIJITALI kwa wasichana nchini, Imefadhiliwa na Sida ; Na kutekelezwa na @helptohelpea na washirika wake Strome Foundation, UTT, CoICT.
#Nashindwaje
Tupo hapa kwa sababu 40% ya waajiri bado wanaona wahitimu wa vyuo vikuu hawana ujuzi wa vitendo wa TEHAMA unaohitajika kufanikiwa ktk soko la ajira la kisasa. Leo, tunaanza badili hilo kwa kutengeneza viongozi hai wa mustakabali wa kidijitali wa 🇹🇿~ Epifania Mhagama
#Nashindwaje
Mapema leo timu @HelptoHelpea imezindua Kambi ya Mafunzo ya TEHAMA ya TGEE 2026 chini ya kauli mbiu #Nashindwaje kwa wasichana 100 wanaowakilisha mikoa 20 🇹🇿 bara wakiongozwa na Mgeni rasmi Ndg. Jasson Ndanguzi, Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Utafiti wa TEHAMA @ict_commission
Nawahasa mabinti mnaonufaika na TGEE IT Boot Camp kuwekeza muda na akili katika mafunzo haya ulimwengu huu wa kidigitali kwani yanaenda kubadili mustakabali wa maisha yenu. ~ Ndg. Jasson Ndanguzi, Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Utafiti wa TEHAMA, Tume ya TEHAMA.
#Nashindwaje
Nawahasa mabinti mnaonufaika na TGEE IT Boot Camp kuwekeza muda na akili katika mafunzo haya katika ulimwengu huu wa kidigitali kwani yanaenda kubadili mustakabali wa maisha yenu. ~Ndg. Jasson Ndanguzi, Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Utafiti wa TEHAMA,Tume ya TEHAMA.
#Nashindwaje
Kambi ya Mafunzo ya TEHAMA “Technology for Gender Empowerment and Employability (TGEE)”, imelenga KUZIBA PENGO LA KIDIJITALI kwa wasichana nchini, Imefadhiliwa na @SwedeninTZ; Na kutekelezwa na @helptohelpea na washirika wake Strome Foundation, UTT, CoICT.
#Nashindwaje
Wasichana 100 mmechaguliwa kati ya waombaji 1,092 si kwa bahati, bali kwa sababu tuliona ndani yenu roho ya “Bingwa”.
Mnatoka mikoa 20, kuanzia Kigoma hadi Mbeya, Geita hadi Dar.
Kutoka UDSM, SUA, Ardhi, MUHAS lakini kwa siku 6 zijazo, nyote ni timu moja:
TGEE 2026
#Nashindwaje
Mabinti watakaonufaika mafunzo haya ya kidigitali ya TGEE nawasihi watumie fursa hii wataleta mageuzi makubwa na kuchochea sekta ya TEHAMA nchini - Ndg Jasson Ndanguzi
#Nashindwaje
Takribani 40% ya waajiri nchini wanaona wahitimu wa vyuo vikuu hawana ujuzi wa vitendo wa TEHAMA unaohitajika kufanikiwa katika soko la ajira la kisasa.
Epifania Mhagama, Meneja mradi @helptohelpea#Nashindwaje