1. Mohamed Dewj: Kilimo
2. Gulam Dewj: Kilimo (katani)
3. Salim Assas: Kilimo & Ufugaji
4. Raza Hussein: Kilimo
5. Issa Mwarabu: Kilimo
6. Salim Bakheresa: Kilimo &Usindikaji wa Vyakula
Hao ni Top ya Matajiri wakubwa Tanzania na wanajihusisha na kilimo.
Hamna Winga apo.
Faida ya kuwa na bajeti
1. Kujua wapi pesa zako zinaenda
2. Kujua kuishi chini ya kipato
3. Kuwa na malengo ya kifedha
4. Kuziba mianya midogo midogo.
#Elimikakifedha
Pesa huwa ina tabia kama hujazoea kushika pesa nyingi siku ukipata hiyo pesa lazima upate wenge.
Ukipata milion 10 nawe ulizoea kushika milion 1 utatumia hiyo million 10 kwa pupa ikifika million 1 ndo akili inarud ndo unataka kuwekeza hiyo pesa.
Soma tena apo
Nilijiunga Insta wiki moja tu nilipata depression,Yaani janja wa miaka 18 anaishi maisha yangu ndoto zangu, Ilibidi nidelete akaunti nirudi Twitter Kwa walalahoi wenzangu.
Ile app hapana asee 😁😁
Waajiriwa wana nafasi kubwa ya kujenga uhuru wa kifedha kuliko waliojiajiri.
Lakini mbwembwe za kuajiriwa huishia mwanzoni tu.
Waajiriwa wengi at 40s, hawana kikubwa cha kuonesha kimaisha, kuzidi waliojiajiri.
Kile unachofanya na pesa unayopata ni muhimu kuliko pesa unayopata.
Kila mtu ATAJILAUMU tu
Sasa omba Mungu usichelewe kujilaumu
Maana kuna age ukifika hutoweza kufanya jambo/kitu
-Kama una idea ya biashara, anza kufanya
-Kama una jambo unalo, anza kulifanya.
-Kama kuna ujuzi unataka kuujua, anza kujifunza.
Muda hamsubiri mtu
Mambo 5 yakuzingatia kifedha
1. Jifunze kusema haipo kwenye bajeti yangu
2. Kua na UKOMO kwenye kutoa msaada
3. Weka akiba > Wekeza sana
4. Ishi chini ya kipato chako, usipende SHOW OFF
5. Ongeza vyanzo vya mapato, usitegemee chanzo kimoja.