Inabidi liwekwe wazi kama ndani ya hii miaka 9 ushahidi haujakamilika au anayetakiwa kuchunguza na kuleta ushahidi hajapatikana! Innalillah_Wainaliilaih _raajiuun!
Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.
@SuluhuSamia Tunahubiri amani na upendo lakini kwenye utekelezaji tumejaza chuki,visasi, fitina, kunyanyasa na kutesana!
Mungu atujaalie tuhubir na kutekeleza Yale yanayompendeza!
DUNIA TUNAPITA TU!