Kuanzia kwenye Mzinga hadi Nyumbani, tunakuletea bidhaa bora za Nyuki na Ubunifu wake ulioongezwa Thamani kukidhi Afya na Urembo wako kwa njia ya Asili.
JE, UNAJUA NINI CHA KUFANYA UKIKUMBANA NA NYUKI? JIFUNZE LEO HATUA RAHISI ZA KUJIKINGA NA KUEPUKA KUUMWA!
Nyuki wanayo manufaa makubwa kwa binadamu na mazingira.
Wanazalisha asali, nta, Royal Jelly (Maziwa ya Nyuki) ,Pollen.
Ni wadudu muhimu katika uchavushaji
wa matunda,mboga mboga na mimea mbalimbali kwa ajili ya chakula na tiba,maua pia ambayo huleta mandhari mazuri.
Hii inawafanya kuwa muhimu kwa afya ya binadamu na mazingira anayoishi.
KWANINI NYUKI HUUMA
Wadudu wanaodunga kawaida huuma kwa sababu kuu mbili: kujilinda na kuwinda.
Kwa nyuki wa asali, kuuma/kudunga ni njia ya kujilinda wao wenyewe na mzinga wao.
Nyuki (workers bee) wanaokusanya chavua nje ya mzinga huwa hawaumi isipokuwa wakiudhiwa au kukanyagwa kwa bahati mbaya.
Kwa kawaida wanazingatia zaidi kukusanya chavua na nekta kuliko kuwa bize na mambo ya watu waliopo karibu.
Ndio maana ya msemo "As Busy as a Bee"
ONYO KUTOKA KWENYE NYUKI
Binadamu anapopita ama kuusogelea mzinga. Nyuki hulichukulia kama tishio kwa usalama wa Malkia (Queen Bee) na Mzinga kwa ujumla.
Nyuki walinzi wachache hutumwa kuja kwako kukuonya uondoke.
Hivyo unapomuona nyuki akirukaruka karibu na kichwa chako sio bahati mbaya tulia, usimfukuze kwa mikono au kitu chochote kwani hii inaweza kuwachokoza nyuki wengine.
Unapompiga au kumuua nyuki mlinzi (guide bee) hutoa harufu "alarm phiromone" kuashiria kuna Hatari, hivyo kupeleka taarifa kwa nyuki wengine kujikusanya kwa pamoja ili kutetea mzinga wao dhidi ya Adui.
Hii inaweza kusababisha wewe kushambulio zaidi sababu nyuki huja kwa mamia
ATHARI ZA KUUMWA NA NYUKI
Kuumwa na nyuki kwa kawaida husababisha maumivu makali, uvimbe mdogo,wekundu kwenye ngozi na pia mara chache kupelekea vifo
Hata hivyo, watu ambao wana mzio (Allergy) wa nyuki wanapaswa kupata matibabu ya haraka.
Mzio unaweza kusababisha:
- Mwili kuwashwa
- Kuvimba kwa koo na ulimi
- Kupumua kwa shida
- Kizunguzungu na kichefuchefu
- Maumivu ya tumbo na kuhara
- Kushuka kwa kasi kwa shinikizo la damu
MAMBO YA KUFANYA NA KUEPUKA UNAPOKUTANA NA KUNDI LA NYUKI
1. Mavazi
Unapokwenda kwenye matembezi karibu na mashamba au kutembelea misitu/mapori/hifadhi epuka kuvaa nguo za kung’aa au za rangi nyeusi, kwani zinaweza kuwavutia nyuki. Hii ndiyo sababu wafugaji wa nyuki huvaa nguo zenye rangi nyeupe wanapofanya shughuli kwenye mizinga ya nyuki
2.Nyuki huvutiwa na harufu kali. Usitumie manukato au marashi unapokuwa katika maeneo misitu/mashamba ambayo nyuki wanaweza kuwepo.
3.Ikiwa nyuki anarukaruka karibu nawe, usimpige wala kuonyesha hofu ni rahisi nyuki kuondoka bila kukushambulia.
4.Ukiona kundi la nyuki linapaa karibu, tulia na uondoke polepole. IKIWEZEKANA, kimbia haraka sana kwa mstari mnyoofu na tafuta hifadhi kwenye jengo au gari.
Kama hakuna hifadhi, kimbia kwenye vichaka au miti midogo ili kuzuia nyuki kukufuata.
5.Ukiona mzinga wa nyuki au kiota, usijaribu kuuondoa au kuuvuruga kwa kurusha mawe .
Wasiliana na Mtaalamu wa nyuki au Wakala wa misitu waliopo karibu wafike kushughulikia hali hiyo kwa usalama.
Kuvuruga mzinga kunaweza kuwachokoza nyuki na kuwafanya wakushambulie kwa hasira.
6. Ondoa mwiba wa nyuki haraka, kwani kuacha ndani ya ngozi kutaongeza sumu mwilini mwako.
Ukiwa sehemu salama, osha sehemu iliyoumwa kwa sabuni na maji & hali yako ikibadilika muone daktari/fika kituo cha Afya haraka iwezekanavyo.
7. Usijaribu kujirusha ndani ya maji ili kuwakimbia nyuki.
Nyuki watakusubiri juu unapoinuka kupata hewa.
8. Unaposhambuliwa na Nyuki usijilaze chini badala yake, endelea kukimbia hadi upate usalama.
Asante na hongera kwa kusoma hadi mwisho
Retweet, Share na Follow Ukurasa wetu @MisanBees kwa dondoo mbali mbali kuhusu Nyuki na Manufaa yake kwenye Jamii.
#MisanBees🐝 #Bee #Nyuki
@LoemaMassey Habari Loema, pole kwa hiyo changamoto.
Karibu ujipatie Misan Honey kutoka kwetu hutojutia kabisa
Tunazingatia Ubora & Asali Halisi 100% kutoka kwenye Nyuki.
Tunatuma Mikoani Kwa uaminifu mkubwa
📞+255657376858
1Kg - 13,000/=
500 grams - 7,000/=
300 grams - 5,000/=
Ukiweza kupush lita 1000 kila siku kwa faida ya 500 maana yake unaingiza 500k faida kwa siku, kwa mwezi itasoma 12.5M. Fanya hiyo 2.5 kama hasara.
12M kwa mwezi kwa mwaka 144, hujatoboa?
Misan Bees🐝 ni wauzaji wa Asali Halisi kutoka kwenye Nyuki. (Reja reja & Jumla)
Tunakuletea asali safi, salama na ya asili 100%, iliyovunwa kwa uangalifu ili kuhakikisha ubora wa hali ya juu.
Kila tone la Misan Honey🍯 lina ubora wa kipekee, ladha halisi ya asali na virutubisho muhimu kwa afya yako.
Chagua asali halisi. Chagua Misan Honey🍯
Wasiliana nasi kutoa order yako leo kupitia
📞 +255 657 376 858/+255 687 443 413 (Call/WhatsApp/SMS)
📧 [email protected]
🛜@misanbees (X,TikTok,Insta,Fb)
#MisanBees🐝
#MisanHoney🍯
#AsaliHalisi
#AsaliMbichi
#AsaliAsili
☕ Every great cup of coffee has a secret.
Whether it’s a Cappuccino, Mocha, or Espresso, a spoonful of MISAN HONEY 🍯 brings out the best in every sip.
Place your order today and enjoy natural sweetness, rich flavor, and perfect harmony.
📞 +255 657 376 858 (Calls / WhatsApp / SMS)
#MisanBees🐝
#MisanHoney🍯
#NaturalSweetness
#RawHoney
#Asali
Kwa uimara ya Afya yako, chagua asali halisi; chakula pekee kinachojumuisha enzaimu, vitamini, madini, na maji.
Vitu vyote muhimu kwa uhai!
Hakikisha hukosi Misan Honey🍯 & unaitumia kwenye vinywaji na vyakula vyako pendwa
Wasiliana nasi
📲+255657376858 (WhatsApp/Calls/Sms) kupata yako leo
#Misanhoney🍯
#Asali #naturalhoney
#MisanBees🐝
Kutoka #SokoLetu WhatsApp
Begi zuri kwa watoto wa primary hadi secondary, ina hayo mazagazaga ka yote. Unahitaji ngapi tukuletee?
Bei ya jumla 26,000
Rejareja 30,000
Tupo kimara baruti karibu na stand ya mwendokasi
☎️ 0754651314 au 0766918267
Kwa uimara ya Afya yako, chagua asali halisi; chakula pekee kinachojumuisha enzaimu, vitamini, madini, na maji.
Vitu vyote muhimu kwa uhai!
Hakikisha hukosi Misan Honey🍯 & unaitumia kwenye vinywaji na vyakula vyako pendwa
Wasiliana nasi
📲+255657376858 (WhatsApp/Calls/Sms) kupata yako leo
#Misanhoney🍯
#Asali #naturalhoney
#MisanBees🐝
Je unahitaji mapazia mazuri.? Mazuri from quality to finishing ya ushonaji
Basi tupo hapa
Pazia 1 ya Mita 1.5-Tsh 32,000
Pazia 1 ya Mita 2-Tsh 36,000
Set 1 ya Mita 1.5-Tsh 87,000
Set 1 ya Mita 2-Tsh 97,000
0747990106 call/text or DM
NAJUA, Yes najua TU
Unapanga kununua kiatu kipya very soon, sasa chukua huu UZI, BUREEEE
nimekurahisishia kwa kukuwekea hii thread yenye Viatu vya muonekano wako
Viatu vyote kwenye hii thread vipo Ubaoni.
KAMA UTAIPENDA HII THREAD 🧵 Naomba Retweet/Repost yako BOSS wangu😌🙏🏻
Good morning everyone there 🌸
Karibu nikutengenezee #pichambao nzuri kwa ajili ya ukumbusho na zawadi.
A1 size
Tsh 80,000/=
Chagua picha moja nzuri unayoipenda nitumie mimi whatsapp au Dm nikutengenezee.
📍Sinza palestina
☎️ 0786445451
Mikoan tunasafirisha.