@millardayo@ummymwalimu Sasa akienda darasan nan atakumbatia watoto, na yeye atapumzk sa ngp
Sometimes maarifa ya mtu nayo ni elimu
Na elimu ya vitendo ndio ingepewa vyt pia
Maan wasom wa afya ni wengi lkn vitendo vyao vinakidhana na elimu yao
Muuguz haitaji san daftar anahtj kwnz moyo km wa mariam
@nyuki_malkia Sas watoto wa siku iz fm2 ty bikra aliiacha darasa la saba na hapo ukute fm2 tyr ametembea na wanaume 4 ata kama mwalimu alipita nae ilikuw tosha akuwa mtoto alibinua macho hakn mwenye kosa hapo aseme tyu anataka shule au hataki ila kumsikiliza sana atasema vitu vya ovyo