Ulishawahi kudate na mtu halafu baada ya kuachana tu hajawahi kukupigia simu wala kuleta drama yoyote wala kumsikia popote yani alipotea mazima mpaka leo?
😀
Hujashika simu siku nzima upo bize na kazi unakuja kuangalia simu jioni unakuta hakuna missed calls wala meseji whatsap zaidi mameseji ya voda tu na watu wa mikopo hapo ndio utajua unaishi maisha ya upweke sana 😃