Unakumbuka kuna nyakati ulikutana na situations ambazo zikikufanya uishi kwa wasiwasi, aibu, fedhaha na kutojiamini?
Nyakati hizo si zilipita?
Na nyingine zitakuja tena, always stand your ground.
Hakuna nyakati zinazudumu, usikubali kutawaliwa na hofu au fedhaha.
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Mtanzania yoyote, wa Chama chochote, CCM, Chadema, ACT etc, atakaekaa chini na hii tume hana tofauti na alietoa order ya mauaji au walioingia barabarani kufanya mauaji.
Haijalishi ataenda kuongea nao nini. Yani haina excuse. Huyo ni msaliti na muuaji kama Samia Suluhu.
Kukubali wito wa hii tume ni kuihalalisha hii tume.
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.