Kenya imekuwa hatari kuliko mexico🏜 aisee.ati child trafficking iko na imekuwa ikiendelea na👮♂️ "mkono mrefu" wanajua but hawafanyi kitu. Sasa mtuambie majina ya leaders ya hizi cartels tukae tukiwajua tusijipate kwa mikono yao tukitafuta hela💸
Shida ya kulelewa into the badlands where the only guaranteed thing is sufferation,is it comsumes you. Things like kindness become strange. Ndio maana sahii mimi dem akiniambia you’re a good man,huwa naanza kujichunguza,naonanga nikama nimekua fala. Hatujasoea ii maneno aki