@zoetjesheeftX Nyumba ya watu hiyo Kwa sababu alikabidhiwa Kwa makubaliano aiangalie ingekua kavamia na aka kaa miaka 12 bila bugudha ya mmiliki na kukawa na ushahidi nyumba ingekua yake Kwa kutumia kanuni ya adverse possession
@GovernmentZA Your ancestors lived a lot in other countries like Tanzania and elsewhere during the time they were struggling with racism, and now you have decided to pay a special tribute to the people who helped you get to where you are.
@sholard_mancity Your ancestors lived a lot in other countries like Tanzania and elsewhere during the time they were struggling with racism, and now you have decided to pay a special tribute to the people who helped you get to where you are.
@Vxebo_ Your ancestors lived a lot in other countries like Tanzania and elsewhere during the time they were struggling with racism, and now you have decided to pay a special tribute to the people who helped you get to where you are.
@N37231Grace@EduTalkTz Sijasema hvyo ila naona shobo za kusherehekea ujinga zina madhara kwetu zaid sisi watu wa chin kuliko watawala maana nchi ikiwekewa vikwazo wako athirika sio viongoz n ww
mlipa Kodi ndio utabeba mzigo wa kuiendesha serikali uwe unataka au hautak
@MollyxIWM1@EduTalkTz Fuatilia hali ilivyo angalia marekani anafanya nini sasa hivi je ana usahihi havunji sheria haui watu? Je yeye sio chanzo cha hii migogoro na inamnifaisha kwenye maslah yake Kuna viongoz weng wa mataifa yetu wanamiliki mali kwenye mabenk yao na wanatuibia sis wanyonge