Mroho wa Madaraka mpuuzi huyu..
Hakuna Demokrasia ambayo wapo nayo majambazi hawa...
Kuweka neno Demokrasia ni kuwakosea wanachama wao..
Mtu yupo madarakani miaka 30 kwenye nafasi moja sasa kuna demokrasia gani hapo? Tunapotezeana muda tu. Wanatekana alafu wanasumbua watu ๐ฎ
Rais Samia akikutana na Putin kwanini iwe tatizo na ikiwa na alipokutana na Biden hakukuwa na shida?
Biden, mikono yake ina damu za watu zaidi ya 1,500,000 za watu wa Gaza, Yemen na Syria, Putin amemuua nani?
Kama utasema Ukraine, basi hujui historia na chanzo cha vita ya Urusi na Ukraine.
Lakini Kuna watu kwamwe, hutowakuta wakisema chochote Marekani kwa sababu hao ndio mabwana zao.
Tunakupenda mama Samia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Jukwaa la Uwekezaji Zanzibar 2026 limefanikiwa kuibua fursa mpya za uwekezaji, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar.
Akizungumza katika hafla ya Presidential Gala Dinner iliyofanyika Hoteli ya Diamond Bijoux, Bwejuu, tarehe 05 Juni 2026, Rais Dkt. Mwinyi amewahakikishia wawekezaji kuwa Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji kupitia uwazi, uwajibikaji na mageuzi ya sekta husika.
Aidha, ameipongeza Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) kwa kufanikisha jukwaa hilo lililowakutanisha washiriki zaidi ya 600 kutoka mataifa mbalimbali duniani, na kuitangaza Zanzibar kama kitovu cha uwekezaji chenye ushindani mkubwa.
Katika hafla hiyo, Rais Dkt. Mwinyi ametunukiwa Tuzo Maalum ya Uongozi katika Maendeleo ya Sekta ya Uwekezaji Zanzibar na ZIPA, kutambua mchango wake katika kuimarisha mazingira ya uwekezaji nchini.
Sambamba na hilo, Rais Dkt. Mwinyi amekutana na Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) na kuwahimiza kuwekeza Zanzibar pamoja na kuchangia maarifa na ujuzi wao katika maendeleo ya taifa.
#KitengeUpdates
Rais Samia Suluhu Hassan amerejea salama nyumbani Tanzania kutoka katika ziara ya kihistoria Urusi na kupokelewa na Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapindunzi Dkt. Asha rose Migiro, pamoja na wananchi wa Tanzania.
Economy doesn't depend on gender of the leader โ Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania
โIt depends on how you steer the affairs of the nation and how you lead the country. Whether you are a male or female, it is the strategic plans that matterโ
Rais Dkt Samia akirejea nchini baada ya ziara kubwa,nzito yenye maono makubwa na iliyofanikiwa kwa asilimia 100 nchini Urusi,sasa njoo kwa NGUCHIRO za CHADEMA na SIMAI hii picha ya Rais Na Makamu wake imewaumiza sana,nadhani sasa mjadla utasitishwa rasmi
Welcome to Tanzania, Your Excellency, President of Singapore!
We are delighted to host you as we deepen our strong and dynamic partnership. Tanzania and Singapore continue to forge robust ties in trade, technology, investment, and innovation.
Kiongozi Mkuu wa Nchi Dkt. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na Kupokewa na Makamu wake, Balozi Emmanuel Nchimbi.
Picha itawatesa sana wanaharakati wachumia Tumbo
Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Tanga ni milango ya biashara ya Afrika Mashariki na Afrika ya Kati. Wawekezaji wa Kirusi wanaowekeza Tanzania wanapata ufikiaji wa masoko ya nchi jirani ikiwemo Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Zambia. Hii ni faida ya kijiografia ambayo haiwezi kupuuzwa na mwekezaji yeyote. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Taasisi za kukuza Uwekezaji kutoka Tanzania na Urusi.
Mlitaka aanze kujibu kwa kuisema Marekani ๐, Huyu ni Prof wa siasa na diplomasia na narudia lile jibu ndio jibu Sahihi.
Diplomasia imelala hapo, wakati anaingia madarakani si mnakumbuka kazi aliyoifanya kurudisha nchi kwenye diplomasia? Tuko vizuri.
Hii ziara, imewauma sana, sasa tunarudi na tuendelea na Diplomasia!! Kazi kazi !!
Kuna watu walisema atakamatwa akamatwe na nani? Gen z munajiongopea kwa siasa za chuki na uchwara.
Karibu Tena nyumbani kwako Mh Raisi Dr Samia suluhu Hassan the president of united republic of Tanzania hakika una energy ya kutosha MUNGU akupe zaidi na zaidi neema kubwa.
Ziara hii ya kihistoria ya Urusi imewafanya vipofu waone na viziwi wasikie kabisa. Msije kumtenga mwanaharakati mwenzenu amesema kutoka moyoni na ukweli ulio wazi!
Hongera Prof. Samia Suluhu Hassan.
Mwandishi: Wewe unataka kufanya na kuongeza biashara na Russia sasa mnawezaje kuvuka vikwazo (Russia imeekewa vikwazo).
Rais: Tanzania hatupo kwenye vikwazo. Vikwazo ni vya Russia lakini sio Tanzania na huyo Russia vipo kwnye baadhi ya vitu kama mafuta yake lakini mafuta Tanzania haitegemei uagizaji wa mafuta Russia.
N:B
Jibu la swali " unaitwa nani?" sio mda wote
"Naitwa fulani" mwengine anaweza kwambia "najuulikan kama fulani" au unaweza niita fulani.
Nilichogundua kumbe huwa mnamfatilia kwa ukaribu sana mama kila hatua na kila analoongea mnafanya kazi nzuri sana.๐
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amerejea nchini .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amerejea nchini leo tarehe 06 Juni 2026 baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika mji wa St. Petersburg nchini Urusi.
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mhe. Rais alipokelewa na Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro.
Akiwa nchini Urusi, Mhe. Rais Samia alishiriki katika shughuli mbalimbali zilizolenga kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia, biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi.
Ziara hiyo imeendelea kudhihirisha dhamira ya Tanzania ya kuimarisha ushirikiano wa