Day 02/366
“Tunza pesa zako hata kama hauna mipango, ni vema kuwa na pesa hata kama mipango haipo, siku mipango ikija ikute fedha zipo.”
Huu ni mwaka wa faida, mwaka huu una siku 366, tuna faida ya siku moja! Mwaka huu hutokea kila baada ya miaka minne, ni mwaka mwema wa faida.
Hautapendwa na kila mtu … Si lazima upendwe na kila mtu … Ni sawa kutopendwa na kila mtu … Wewe pia hupendi kila mtu!
Kwa kifupi, si haki yako kupendwa na kila mtu!
Kama inavyowezekana kujisikia vibaya ndivyo inavyowezekana pia kujisikia vizuri. Leo ni siku mpya iangalie kwa bashasha na ikaribishe kwa furaha, jiambie leo ndiyo ile siku uliyokuwa unaisubiria maisha yako yote!
#Jikumbatie#mwakawakilakitukizuri
Kinauzwa sh. 20,000/= tupigie 0746 851 451 au WhatsApp 0713065134 au njoo DM! Kwa sasa tunafanya delivery wenyewe kwa utaratibu maalum, tunatuma ndani na nje ya nchi!
#Jikumbatie
Ni muhimu sana kujipenda, ni muhimu zaidi kujipa kipaumbele, ni muhimu kupita yote kujipa raha! Kumbuka wewe ni wa muhimu kuliko mtu yeyote na hapatawahi kuwa na mtu mwenye umuhimu zaidi kuliko wewe!
Hatimaye vitabu vyangu Mtumwa Kwenye Nchi Huru na Punje ya Tumaini vinapatikana DSM Elite bookstores;
Elite bookstore Mbezi beach karibu na Jengo la Samaki Wabichi.
Elite bookstore Chuo Kikuu cha DSM
Elite bookstore Palm Village.
Mtumwa ni sh. 10,000/=
Punje ni sh. 20,000/=
Kwa wakazi wa DSM vitabu vinapatikana Divine destiny bookstore lililopo Bamaga (energy petrol station)
Punje ya Tumaini ni sh 20,000/=
Mtumwa Kwenye Nchi Huru ni sh 10,000/=
Kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp 0713065134!
#punjeyatumaini
Namshukuru sana Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kwa kuzindua riwaya yangu mpya iitwayo Punje ya Tumaini!
Karibuni wote tuisome Punje ya Tumaini! Inapatikana Kona ya Riwaya DSM. Unaweza kutupigia 0746 851 451 au nicheki whatsapp 0713065134 kitafika ulipo!