@platnumz_lion Positive mwijaku is brave man jamaa hana chuki na hiyo inaoneshaa jamaa hapelekeshwi na ata mmoja kati yenu as long as unampa dili za pesa kwajil ake na familia yake anasimam kila pande na anaonesha hana upande na kumuita chawa ni kama kumkosea biashara haina adui
@chapo255 As hao jamaa wanadiss apo P kafel tena muda wote alie tumia mpaka iyo diss kutoka naweza sema hapo amna ki2 hamna ubunifu wala utunzi hapoππ la Mbishi awaokolee jahaz
@Mtwa_Mkwawa Napaonaga Twitter kunawatu wako smart kwenye kujaji vitu kumbe utopolo kama instagram tu watu wanauelewa mdogo kiasi hich kwani mmemskia akisema sio sawa 6/4 mtu anakwambia 59 production management wametolea mtonyo izo 9 then alikua poa 2 lakn mjomba hataki kupitwa
@OnlineDentistTz @tinmunishi12 @Mtwa_Mkwawa Labda tunatofautiana uelewa Jeshi hakua na intetion ya kwamba analipwa 40% intetion yake why wanamfanyia vitu avielewek na wakati huo jamaa anaproduction 59 tisa 2 ndio wcb wametoa mkwanja wao Mfno we ukimuajiri mtu basi akipata ela akijiongeza mybe akajenga nyumba kal kushndaπ€€