@ayo_shangwe@Sativa255 This is playing too low, wewe ni mwenezi wa chama kikubwa sio mwenezi wa kikoba, you should learn to respond and behave when writing in public. My take๐
@juliusmassabo@rollymsouth Inawezekana watu wachache ACT ndo wanaijua project wengine wanaenda tu kama kondoo, namnukuu Baba Levo kua alikua anaenda mahala na KC mstaafu wanaokota! Na connect dots ๐