Hii press ya GWAJI BOY ilifungua ndonga za watanzania wengi sana.
DIKTETA JIKE linaisoma namba huko.
Jitu linasema lilichaguliwa kwa asilimia 90 linaapishiwa MBUGANI.
Kila siku watu wanaongelea maandamano.
Miji mikubwa MAGARI YA MAASKARI, WANAJESHI na mabuduki wanazurura zaidi ya mwezi mzima.
Na huu sio mwanzo SAMIA huu ndio utakuwa UTARATIBU wetu kama taifa wewe si CHURA KIZIWI?
TUTAKUWEPO��🏾😎
Alichoonya Nyerere kuhusu ‘sisi Wazanzibar’, ‘sisi Watanganyika’
Maneno haya aliyasema kuelekea mchakato wa uchaguzi mwaka 1995 jijini Dar es Salaam kwenye mkutano na Klabu za Waandishi wa haba
Summary fupi ya tume ya Chande na Maridhiani kutoka kwa Balozi Polepole (Mungu amlinde popote alipo🙏) .
"Baada ya uchaguzi msikubali maridhiano mtakuwa wajinga". Polepole
Hakuna mpenda haki na mwanachadema yeyote ambae ataamini Mh.Lissu anataka maridhiano ili awe huru! Tunapuuza propaganda zao wanazomzushia mwenyekiti
Tunamjua mwenyekiti ni mtu mwenye misimamo thabiti anaelinda maslahi ya chama na nchi hii kwa ujumla