@Thommunkondya Wow swali zuri !! Okay iko hivi Bro, wakurudisha hili ni CCM wenyewe ndio wanaweza kurudisha aina ya Siasa hizi ikiwa ni pamoja na Uhuru wa Watu kujieleza hili itafanya Watu kuwa na uwezo wa kujenga hoja na kuacha na Siasa za kejeri na matusi kama ilivo Sasa.
@Thommunkondya Sijawahi kufikiria kama upeo wako wakufikiria ndio umekomea hapa mimi kama mchamba na maswala ya kisiasa Nakukumbusha kufatia zaidi mwenendo wa siasa za hapa Nchi kwetu tangu mwaka 2020 usijifanye huelewi kinachoendelea mzee
@Thommunkondya Yes yapo mengi yalio tendeke makubwa tu lakini kulingana na Rasilimali tulizo nazo bado ilikuwa kuna namna yakafanyika kwa ukubwa zaidi inahitaji Elimu pia kujua kuhusu hili kwakeli kila mtu nahaki ya kutoa maoni ila uwe unaangalia unachoenda kukitoa kwa watu ila hongera kwa Hoja
@EsirEid Poleee sana Mkuu, Naamini serikali
ya itafanyia kazi kila ulichokiongea maana serikali yetu ni Sikivu sana ๐๐ฝ
Japo mambo kama haya huwa yanafikirisha sana Imagine hii ndio Huduma ya VIP ?????
Mpaka kufikia 2021 JPM anafariki pale, ni vijana wachache sana walikuwa wamekimbia nchi/wako exile kwa sababu za kisiasa na hofu ya kurudi nchini kwa sababu za kisiasa/utawala uliopo madarakani na vyombo vya dola.
Hapa katikati hapa 2024-2026 hii idadi ya vijana kuwa exile imeongezeka mno.
As we speak kuna vijana wengi sana hawapo nchini na hawawezi kurudi kwa ajili ya kuhofia usalama wao.
Wapo wengine wengi hawakukimbia nchini, waliondoka kwa sababu zao binafsi, lakini wakiwa nje wamekutana na viashiria vingi vya usalama wao pindi watakaporejea nchini!!
Wengine walijaribu kurudi hatujawaona mpaka leo!!๐
Hadi kufikia 2030 Hii idadi itaongezeka sana kwakuwa watawala wamekataa kubadilika!!
True winning is when making money stops being an event and becomes part of your daily routine.
Yaani hii ni zaidi ya baraka Aisee๐๐ฝ
Hela za kila siku tamu wazee ๐
Kicheko ni fumbo ?? Yes kicheko ni Fumbo gumu sana kulifumbua isipokuwa yule Alie onyesha kicheko ndio anaweza kutuambia nini anamaanisha,
Unadhani Nape Nauye na hili cheko lake ni nini ana maanisha ???
@Nnauye_Nape
Nani kama Mama ???
Huyu ndio mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa na PHD nyingi za Heshima
Hongera sana Mama unaupiga mwingi .
Mimi kama mwenyekiti wa Vijana Wafanya Biashara wa Sinza, nasemahivi,
Endelea kuwa mfano wa Kuigwa ๐๐ฝ
@ayubu_madenge Hata hivo si kwamba mlikuwa bora sana uwanjani, ni vile tu kwa mwaka huu mlikuwa vizuri kwenye ku defense kumbuka mwakani Mshetani wekundu tutakuwa wote so usitegemee kufika tena kwa hivi karibuni ๐๐๐