Nimezaliwa upya asante Mungu kwa uzima, wazaz na ndugu na jamaa kwa ushirikiano wenuπππ, sema mwaka huu bora nsingezaliwa nikasubiri mwakaniπππ nimekutana na wahanga wa mirinda na fanta hata party hainogi bila sodaπππ₯
@KumbushoDawson Kama unawaza kutaftiwa siku zote mtegemea cha nduguye hufa maskini usipoenda shambani kwako kulima unasubiri kwa jirani yako utakufa njaa siku jirani yako akifariki