Kuna watu wananijua KAMA EDGER, kuna wewe unanijua kama SATIVA. 😂
Mimi nafanya vingi ambavyo sijaamua kushare ila usije ukaniona FALA. Moja ya kitu nilikataa maishani mwangu ni kuwa na JINA KUBWA bila kuwa na PESA hilo nilikataa.
Niliwahi kusema “Kesi ya MILIONI 100 HUNIFUNGI”—leo nawaongeza hili “KESI YA MILIONI MIA 200 HUNIFUNGI”
POLISI MBEYA wananijua kwa uhalisia wangu ambao sijaamua kuuonyesha—So respect my name. Ningekuwa mtu wa kuflext Social media mngehama maana sifa tuu NINAZO ila namtambia nani sasa?
TUISHI WANANGU.🫵🏻
#TajiriLaKihaya#Ramadan 1447/2026 Crescent has been SIGHTED
Subsequently, tomorrow i.e Wednesday, 18 February 2026 will be the first day of Ramadan 1447
Ramadan Mubarak!
Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda.
Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote..
2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.