@privaldinho Ukiwa unafanya kazi Kama hyo usiwe na upande wowote ndo mana huyu mbwa anapgwa spana anaonesha yupo direction moja hawez fika mbali akuige wewe Kaka unajua nn unafanya ndo Mana unagusa kila timu hapa bongo.
Habari ya asubuhi kutoka kwa mabingwa wa #MapinduziCup2022
Mashabiki wa Simba mnaruhusiwa kuendelea kupumzika, mkiamka saa 5 asubuhi sio mbaya. #NguvuMoja