Iko hatua ya mafanikio ktk maisha ambayo inataka uwe mnyenyekevu ili uweze kuishi. Ikitokea umeifikia kabla hujaufaulu mtihani wa unyenyekevu, maisha yatatafuta namna ya kukunyenyekeza yenyewe. Na njia moja ya maisha kukunyenyekeza ni kwa kukupokonya hicho ulichonacho.
‼️🚨TAARIFA KUTOKA #WenyeNchiWananchi WAZALENDO‼️
Hakuna msamaha wala maridhiano
"nyani hawezi kusoma hukumu ya jambo lolote la msituni”
Serikali iliyokosa uhalali haiwezi na haitakiwi kuchunguza mauaji ya halaiki ya kimbari yaliyofanyika kwenye ardhi ya Tanganyika nchini Tanzania kwani serikali hiyo ndiyo mtuhumiwa mkuu.
Wangalizi kutoka SADC na Umoja wa Afrika (AU) wamebatilisha uchaguzi. Hakukuwa na uchaguzi. Kwa hiyo, madiwani, wabunge na Samia Suluhu wanatakiwa kukaa pembeni mara moja na kupisha mchakato wa kupata viongozi halali waliochaguliwa na wananchi.
Madai mengine ya wananchi yalikuwa wazi tokea awali ila yalipuuzwa! (Yameorodheshwa)
Tukutane ktk maandamano ya amami Desemba 9 na ni maandamano ya kudumu ✊🏽 hadi Haki ipatikane!
Mungu Ibariki Tanzania 🙏🏽🇹🇿
Wanaume wengi out here are struggling everyday to find a reason to keep going
Wanaume wanavaa vizuri, fake smiles everywhere lakini deep inside wanawaza na kupitia mengi kuhusu maisha yao.
Respect kwa wanaume wote wanaopambania maisha yao bila BackUp ya wazazi ama Ndugu.