@MikeDea84070500@iboysean Zinawastua sema hawana namna, lakini pia hata wao kwa wao kuna watu wanaingia upande wao na wanafanikiwa kiuchumi zaidi yao mfano Gerishon, mi naamini huyu mwamba ni tajiri mkubwa sana.
@fizoo_2040 ๐๐๐ amka sa10 usiku anika nguo zote chafu alafu urudi kulala ukiamka sambili unaanua unafua na kurudishia, unaweza kutumia nguo safi pia kushikia nafasi
@EsirEid WANASEMA,Ukitaka kuliangamiza Taifa lolote usitumie Atomic Bomb, WAPATIE Elimu Mbovu,Wagonjwa watakufa mikononi mwa MADAKTARI wasiyo na uwezo, Majengo yataporomoka mikononi mwa Wanandalasi wasiyo na Uwezo,Uchumi Utayumba mikononi mwa Wachumi wasiyo na uwezo,haya maumivu ni makali
@Thommunkondya@cleme74076 Yaani kukopa pesa za nchi yetu ni fursa kwenu uvccm! Mnaongeza deni la Taifa kwa kutorudisha pesa za mikopo ndo fursa hiyo. Uongozi ubadilike tu mfatiliwe mrudishe pesa zetu.
@Adventure_36 Unatakiwa ile kadi ya benki ibabe taarifa zote ikiwezekana hata ukiwa dreva sifa iongezwe mulemule. Mtu mmoja unakuwa na kadi ya nida, ya kura, ya udreve, ya mpira, ya mwendokasi ya bima ya afya na zingine kibao alo.