@IAMartin_ Usiwachukie watu kwa matokeo ya mipango yao pambana na ww watoto wako wawe na misingi ya kutumikiwa sio kutumikishwa, hujasema kwa mwinyi hii iko duniani kote au hujui Biden anaweza kupoteza urais kwa kuwapendelea watoto wake
@AbroadTanzania Uislam ni mfumo ambao hauhitaji kutafuta mwongozo kwa jambo lolote huwez kuona matarumbeta masokoni wala kwny majukwaa jadili bandari uislam hauhitaji mtu wa kuuongezea kitu
@IAMartin_@TunduALissu Katk eneo ambalo chadema hamtakiwi kumlaumu mtu mwingine zaidi ya mbowe siku ya kwanza anauongelea mkataba akamtaja rais kwa uzanzibar wake kulikuwa na ulazima gani mbona sisi hatuulizi uchaga wake na John mrema?
@JonMrema Ww jamaa ukabila ubakutesaga sana hapo IPP wameingiaje na mbowe ndio mtu wa kwanza kuongea ukanda wa rais na waziri, waliomaliza madini bulyakhulu ni waarabu au wanaoacha mashimo geita na mererani ni wazanzibar, tuchukie wizi tusichague rangi ya mwizi
@Twaha_Mwaipaya Mbona na ww unazidi kukosea kwani uchi wa muislam ni nn? Kwani suti inamtoa mtu kwny dini? Hapo chadema john mrema alipewa ukurugenzi kwa sababu ya uchaga? Kwa mwendo huu inakatisha tamaa
@JonMrema Kwani hoja ni mkataba au uzanzibari wa rais na waziri, pale wizarani kuna wazanzibar wangp na watanganyika wangp, kamati ya bunge ina watanganyika wangp, na ww hapo chadema una cheo kwa sbb ni mchaga au kwa sbb una uwezo kwa kifupi ameharibu mjadala
@privaldinho Kanuni ya kwanza ya kutambua uwezo wa mtu ni kwny eneo lake la kazi je Martin amefanikiwa huko chadema au ni hizi keyboard tu ndio zinampa kiburi, kuna wakati sio kila anayekuchallenge ana uwezo Sawa na ww
@ExMayorUbungo Hiv bonny unaweza kumpuuza kabwe kwny siasa ya nchi hii hadi ujifananishe nae? Ki ukweli acha CCM waendelee kututawala kwa siasa hiz miaka ya kobe hamuwez kuchukua dola
@ExMayorUbungo Kuzaliwa mahali ndio ticket ya kuabudiwa? Hebu nisaidie lema kazaliwa arusha? Mbowe kazaliwa Hai? Hii ni siasa wananchi wanataka maendeleo sio kuringia uzawa bila maarifa