@Jambotv_ Bashungwa ni wewe kweli au unaidhurumu nafsi yako,kumbuka neno moja tu sisi ni wavu tunaotembea,na madaraka yana kikomo utawaeleza nini kizazi kijacho?
@Jambotv_ Taifa hili lina watu wapumbavu sana,unataka watu wakae kimya tu kwa mambo ya hovyo yanayoendelea nchini kisa unamjua mtu,hii inaonesha ni kiasi gani tumejawa na uchawa,kujipendekeza na kuupuuzia maumivu wanayoyapata ndugu zetu,nani ana uhalali wa kuongelea utekaji na nani hana?