@ummymwalimu Mama huku mtaani hawakutaki Mimi ni Nan sasa nipingane na watu wengi? Mkataa wengi mchawi,, ningekushauri mama na wewe ungejikataa tu uungane nasi
@Roma_Mkatoliki Maendeleo ya kweli yanatokana na watu kudai haki zao. Taifa linalonyamazisha wakosoaji, linajikosesha mabadiliko. Maandamano ni haki, si uasi. Uongozi unaoogopa sauti za haki, ni kielelezo cha udhaifu.
@Dr_DGwajima@maendeleoyajami Mama hivi Kwa nini siku hizi kila mwanachama au kiongozi wa CCM anaonekana kuwa na mamlaka ya kutoa amri ovyo kila anapojisikia, hata bila kuzingatia taratibu za kisheria na kikatiba?
@John_Pambalu Maendeleo ya kweli yanatokana na watu kudai haki zao. Taifa linalonyamazisha wakosoaji, linajikosesha mabadiliko. Maandamano ni haki, si uasi. Uongozi unaoogopa sauti za haki, ni kielelezo cha udhaifu.
@Jambotv_ Maendeleo ya kweli yanatokana na watu kudai haki zao. Taifa linalonyamazisha wakosoaji, linajikosesha mabadiliko. Maandamano ni haki, si uasi. Uongozi unaoogopa sauti za haki, ni kielelezo cha udhaifu.
@John_Pambalu Maendeleo ya kweli yanatokana na watu kudai haki zao. Taifa linalonyamazisha wakosoaji, linajikosesha mabadiliko. Maandamano ni haki, si uasi. Uongozi unaoogopa sauti za haki, ni kielelezo cha udhaifu.
@Dr_DGwajima@maendeleoyajami Maendeleo ya kweli yanatokana na watu kudai haki zao. Taifa linalonyamazisha wakosoaji, linajikosesha mabadiliko. Maandamano ni haki, si uasi. Uongozi unaoogopa sauti za haki, ni kielelezo cha udhaifu.
@Dr_DGwajima Kwa nini siku hizi kila mwanachama au kiongozi wa CCM anaonekana kuwa na mamlaka ya kutoa amri ovyo kila anapojisikia, hata bila kuzingatia taratibu za kisheria na kikatiba?