Tupo ndani ya mwezi mpya siku ya leo, ila hatuwezi kusahau kuwa siku ya leo inatimia miezi 4 tangu ndugu zetu waporwe UHAI.
Hatutaacha kuwakumbuka, hatutaacha kuwalaani wote waliosababisha yale.
Nao wapo ndani ya Mfungo hali yakuwa mikono yao inanuka Damu zisizokuwa na hatia๐
Karibu Tanzania Nchi ambayo ndugu zao waliokufa October 29 hawana Thamani yoyote ukilinganisha na Wanaokufa Israel na Iran.๐๐๐๏ธ
Rest in Peace Soldiers.๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ
MASTER TINDWA role model wa waandishi wengi wa habari wa sasa hasa angle ya michezo aliuliwa KIKATILI SANA NA WAKOLONI WEUSI.
Walichofanya ni kusema tuu "R.I.P kaka" bila kudai HAKI yake ya kuishi ambayo ilidhulumiwa na WAKOLONI WEUSI.
Leo hao hao waandishi wa habari wanajikuta wanauchungu sana na vifo vya wananchi wa IRAN na kutaka kudai haki zao wakiwa KWA MTOGOLE na mabando ya kuunga unga.
Vijana wadogo wanakuwa WANAFKI kama wachawi. Nafikiri taaluma ya UANDISHI WA HABARI TANZANIA ndio taaluma ya MAKUMA kuliko yeyote ile kuwahi kutokea.
Ndugu zangu wa Tanzania,ni kama vile tume anza kujisahaulisha mauaji ya tarehe 29 October,haya mambo ya bongo star search ni yaku yasusia , kushiriki ni huu upuuzi ni sawa na kuwasaliti maelefu ya vijana wenzetu walio uwawa. Let's focus on liberating our country.