โผ๏ธ๐จWANACHAMA FEKI WA CHADEMA WAPO KAMBINI KWA HISANI YA AKINA ABDULโผ๏ธ
Mdau katutonya kuwa hili gari la jeshi linabeba vijana kuwaleta katika shule hiyo (jina tumehifadhi) na kupewa mafunzo ili wajitokeze kutoa kauli kama vile ni wanaCHADEMA na waonekane ni vijana wa CHADEMA. Wanataka waandae maandamano waandamane kudai @HecheJohn avuliwe uongozi ๐
Hawa jamaa wanafeli mno - sasa mnatarajia nini na mtu anayesimamia shughuli ni Sumai na Abdul? Wapumbavu kabisa!
Eniwei waanze kuzoea uhalisia ๐๐ฝ #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Mapema leo wazee wa Mkoa wa Mara wamekutana na Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche na kumpatia zawadi.
Tuendelee kuchangia chama kupitia
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
CEO Zubeda Sakuru akizungumzia bonasi ya Tsh. 78,765,000 ambayo tumepokea kutoka kwa mdhamini mkuu, kampuni ya Betway baada ya kushinda Kombe la Shirikisho. #NguvuMoja
Jamaa ana watu wengi sana wanaomkubali. Leo wamepanga kwenda kuswali naye kwenye msikiti anaoswalisha Magomeni. Kweli cheo ni cha dunia, lakini heshima na ukubwa wa mtu huwekwa na Mungu ndani yake. โช๏ธ๐คฒ๐พ
ASANTENI WATANZANIA! MPAKA SASA TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 95
Tumebakiza TSh. Milioni 5 pekee kufikisha TSh. Milioni 100!
"Tunaomba kila mmoja ajali, na siyo mara moja unaacha, kila unapofikiria mabadiliko na utawala bora fikiria kwamba Chadema haiwezi kwenda mbele bila fedha zako" Mhe. Godbless Lema
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
โผ๏ธTUMENASA MAZUNGUMZO YA MADALALI WA PROJECT YA KUMSHAMBULIA MHE. HECHEโผ๏ธ
Huyu anaitwa Shaban Mikongoro ni mpambe wa Susan Kiwanga na ni Kiongozi wa CHAUMA Mkoa wa Morogoro.
Hii Sauti inayosikika hapa ni majibizano kati ya Mikongoro na Kiongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati ambapo Mikongoro anasikika akimshawishi Kiongozi huyo akubali kufanya press ya kumtukana Mhe. @HecheJohn kwa ahadi ya ujira wa milioni moja.๐๐๐
Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanachezea kodi zetu kwa kuliipa hawa vibaraka wao ili wamshambulie Mhe. Heche kwasababu hataki kuimba wimbo wa Maridhiano.
Sikiliza mazungumzo haya kwa makini mwanzo hadi mwisho ili uone hawa vibaraka wa CCM walivo na akili ndogo.๐ฎ
#TANZANIA: TUNAKUBALIANA NA JUMUIYA YA MADOLA KWAMBA LISSU AACHIWE HURU NA WASITISHE VITISHO KWA VYOMBO VYA HABARI - ROSE
Mwakilishi wa TG-MSG na Mwanahabari mkongwe, Rosemary Mwakitwange amesema wanaunga mkono juu ya mapendekezo ya Jumuiya ya Madola kwa watawala wa Tanzania sakata la Tundu Lissu, kuwaachilia huru wale wote waliokamatwa kwa kupigania haki na demokrasia nchini, kuacha mara moja vitisho kwa vyombo vya habari na kuweka mawanda mapana kwa vyama vya siasa kufanya siasa kwa uhuru, kukomesha vitendo vya utekaji kwa wakosoaji wa na kuhakikisha upatikanaji mawasiliano ikiwemo mitandao ya kijamii.
Zaidi: https://t.co/2L2ElySBAT
Wakili Jebra Kambole mmoja wa mawakili wa upande wa walalamikaji ametoa sababu kwanini kwenye shauri hilo Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania hakijajumuishwa ilihali @ChademaTZ2 na @ACTwazalendo wamejumuishwa.
VIDEO:
Huyu ni Wakili Jebra Kombolela, mmoja wa Mawakili wanaomwakilisha waliofungua kesi ya kupinga zuio la muda la mikutano ya vyama vya siasa lililotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi, kesi iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora
KESI hiyo imefunguliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Dkt. Wilbrod Peter Slaa dhidi ya Patrobas Katambi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Bodi za Wadhamini za Vyama vya Siasa vya CHADEMA na ACT Wazalendo
Hapa Wakili Jebra Kombolela anasema miongoni mwa kilichowasukuma wateja wao kufungua kesi hiyo ya Kikatiba ni kutokana na kwamba katazo hilo ni haramu na linavunja misingi ya kisheria na Kikatiba.
"Nataka nirudie msimamo wa chama chetu na hatutayumba hata nukta moja. Mimi bahati nzuri nilikuwa miongoni mwa watu watano tulioteuliwa kwenda kwenye kile kilichoitwa Maridhiano wakati wa Mwenyekiti Mbowe na mimi nilikaa kwenye ule ukumbi nikawaambia hawa watu hawana malengo ya kubadilisha chochote, baadae nikaonekana kama mimi nilikuwa tu na hofu zangu lakini kile nilichokuwa nimekisema ndicho kilichokuja kutokea kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuwa na nia yoyote ya maridhiano."
.... Sasa kitu kama hicho tumejifunza, hatuwezi kurudia makosa kama yale. Kamati kuu ilipokaa imesema hakuna maridhiano yoyote yatakayofanywa na CCM bila kwanza Mwenyekiti wetu na watu wengine waliokamatwa kuwa nje. Pili, hakuna aina yoyote ya maridhiano itakayofanywa bila ya mtu kati ambaye atakuwa na mandate ya kuangalia kile kinachozungumzwa kinatekelezwa."
"Hakuna maridhiano yoyote yatakayofanyika bila uwajibikaji kwa yale waliyoyafanya kwa makosa makubwa waliyoyatenda dhidi ya binadamu wenzao. Haya mambo ni ya kamati kuu na hayatapindishwa. Hata hao wanaopewa vifedha niwaambie Lissu hawezi kutoka kwa masharti, Lissu anatakiwa kuachiwa unconditionally. Huwezi kumkamata mtu halafu unasema ili aachiwe lazima uzungumze na mimi, haya hayatakaa yatokee chini ya uongozi wetu."
"Hatuwezi kwenda kuzungumza na watu ambao tunawajua hawapo tayari. Aina yoyote ya mazungumzo au maridhiano ya uongo uongo, ujanja ujanja itakuwa ni usaliti mkubwa kwa mwenyekiti wetu Lissu na wale waliokufa wakati wa Oktoba 29."-@HecheJohn, Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 akizungumza na watanzania waishio nje ya Nchi.